Milioni 700 zimepotea Air Tanzania, maamuzi ya waziri wa uchukuzi ni haya. (+Audio)
Kuna milioni 700 za shirika la ndege AIR TANZANIA zimepotea kupitia kampuni ya ukatishaji tiketi ya Salama World Travel, sasa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ameshtukia hii ishu…
Mahojiano ya CloudsTV na baba mzazi wa Diamond Platnumz nyumbani kwake Magomeni
Abdul ni baba mzazi wa mwimbaji wa Tanzania Diamond Platnumz ambapo D'wikend chat show ya CloudsTV ilimfata na kumfanyia mahojiano nyumbani kwake Magomeni, kayazungumza mengi tokea wakati huo na sasa…
Picha 3 za ajali ya Kontena lililoangukia daladala na gari ndogo leo Feb 10 Dar
Habari zilizoenea kwa kiasi kikubwa kwa watumiaji wa barabara ya Mandela jijini Dar Es Salaam ni kuhusiana na ajali iliyotokea ya kontena kuangukia basi dogo la abiria maarufu kama daladala…
Kuanzia Jan16 2016 hizi ni video 12 mpya za Bongofleva ulitakiwa uwe umeshazitazama mpaka sasa
Ukishazitazama sio mbaya ukiniachia comment kuniambia ni video ipi umeipenda zaidi mtu wa nguvu https://www.youtube.com/watch?v=5VnRc_mI4kk https://www.youtube.com/watch?v=oZS3fekWNOM https://www.youtube.com/watch?v=8txoAPjl0-k https://www.youtube.com/watch?v=24x-G0RdXIY https://www.youtube.com/watch?v=-XUeICq0Ik4 https://www.youtube.com/watch?v=90Sn74kSzvs https://www.youtube.com/watch?v=8AcH8NRiMho https://www.youtube.com/watch?v=0n0zd-EyiVE https://www.youtube.com/watch?v=jilmBzLQZHA https://www.youtube.com/watch?v=ZA22teuu5-Q https://www.youtube.com/watch?v=2cdCd1GBTZM https://www.youtube.com/watch?v=seXwsIlwdEY Unataka kutumiwa MSG za…
Exclusive: Joh Makini amekubali kuiongelea kolabo yake na Davido na walipofikia
Joh Makini alikaa kwenye Exclusive Interview na mtangazaji Millard Ayo kwenye #OnAIRwithMillardAyo na kuweka ukweli mezani kuhusu kolabo yake na Davido, audio tayari imekamilika ila video bado... Joh Makini kaongea yote ikiwemo…
CONFIRMED: Video mpya ya Diamond inaachiwa wiki hii, details za jina la wimbo na aliyeshirikishwa ninazo hapa
Kituo cha Television cha MTV BASE kimepewa tena nafasi ya kuionyesha kwa mara ya kwanza video ya mdundo mpya wa mwimbaji wa bongofleva Tanzania Diamond Platnumz time hii akiwa na…
Ushindi wa CHAN umemfanya Rais Kabila kutoa zawadi ya magari kwa kila mchezaji (+Pichaz)
Rais wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo Laurent Kabila ameamua kuwazawadia magari wachezaji wa timu ya taifa ya Kongo walioshinda Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za…
Exclusive Interview na Rammy Galis, mwigizaji anaetajwa kufanana kimuonekano na marehemu Kanumba
Rammy Galis ni mwigizaji wa bongomovie ambaye wengi wamekua wakifananisha muonekano wake na Marehemu Steven Kanumba ambaye alikua staa wa bongo movie, hii ni Interview yangu ya kwanza kumfanyia... kaongea…
Top 10 ya Tweets zilizopewa uzito kwenye Magazeti ya leo Feb 10 2016 unazisoma pamoja hapa!!
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. https://twitter.com/millardayo/status/697247959524761602 https://twitter.com/millardayo/status/697242869246136324 https://twitter.com/millardayo/status/697254105190899713 https://twitter.com/millardayo/status/697261517880872960 https://twitter.com/millardayo/status/697280577247014912 https://twitter.com/millardayo/status/697288060158009345…
Tayari nimekurekodia habari kubwa za magazeti zilizosomwa CloudsFM Leo Feb 10…
Kila siku huwa natenga time yangu kwa ajili ya kuhakikisha huzikosi stori zote za magazeti zikisomwa redioni, na tayari nimekurekodia kutoka kwenye POWER BREAKFAST ya CloudsFM. Baadhi ya zilizosikika ni pamoja…