VIDEO: Moshi wa samaki soko la Ferry bado haujazuiwa kuingia Ikulu ya Magufuli
Moja ya ripoti zilizogusa kwenye vichwa mbalimbali vya habari Bongo ilikuwa ishu ya kubadilishwa kwa majiko yanayotumiwa na wauza samaki eneo la Ferry Dar, ishu kubwa ikiwa ni kero ya…
Maamuzi ya Arsene Wenger kwa Man United saa kadhaa kabla ya dirisha la usajili halijafungwa …
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger February 1 tukiwa tunaelekea kufungwa kwa dirisha dogo la usajili la mwezi January, ameingia kwenye headlines baada ya kugoma kumuacha beki wa…
CONFIRMED: Pep Guardiola kathibitishwa kujiunga na Man City
Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, February 1 ameingia kwenye headlines baada ya…
Safari ya New York-London sio mchezo lakini wataalam wanaikamilisha kwa dakika 11 tu !!.. (+Video)
Safari ya kutoka New York Marekani kwenda London Uingereza au kutoka London kwenda New York sio safari ndogo, wataalam wa mambo wanasema ni safari ambayo inachukua kati ya saa saba au nane…
Kitale ‘niliambiwa Sharo Milionea ananiloga kwa mafuta ya uso’
Kitale a.k.a Mkude Simba ni mwigizaji/mchekeshaji Tanzania na amechukua sifa nyingi kutokana na zile sauti zake za kuchekesha na video fupifupi zilizotambaa Whatsapp akiigiza kama Teja, kwenye hii video hapa…
Ripoti iliyonifikia kuhusu kipindupindu Tanzania tangu kilivyoanza 2015..
Kumekuwa na ripoti kila siku zikibeba vichwa vya habari Tanzania kuhusu ugonjwa wa kpindupindu, ripoti ya leo imetoka Wizara ya Afya kuhusu idadi ya waliowahi kuugua ugonjwa huo, waliofariki na…
Hekaheka ya kaka na dada wenye uhusiano wa kimapenzi mpaka ujauzito Dar.. (+Audio)
Timu ya 'Leo Tena' iligusia hii Hekaheka mwisho wa wiki iliyopita ambapo kisa chote kinahusu mtu na dada yake kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Ndugu wamesema walijaribu kuwatenganisha lakini hakuna…
Picha 9 za club ya Simba ilivyotuonyesha duka lao jipya la kuuza bidhaa zenye nembo ya club yao !
Klabu ya Simba Sports February 1 2016 imeingia kwenye headlines na historia, baada ya uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa Rais wa klabu hiyo Evans Aveva wamezindua duka ambalo litakuwa…
New Video >> Tayari Shilole kaitimiza ahadi yake, video mpya ya Nyang’anyang’a ndio hii..
Mapema kabisa February 1 2016 inaanza na burudani ya kazi nzuri kutoka kwa mrembo mwenye headlines zake nyingi Bongoflevani, Shilole a.k.a Shishi Baby. Ameachia ngoma ya Nyang'anyang'a na ikaanza kwa…
Uchambuzi wa stori kubwa redioni February 1 2016 >> Uchaguzi Z’bar? Bungeni Dom na mengine .. (+Audio)
Askofu Mkuu KKKT awashukia Polisi akidai wanatumika kuzuia Demokrasia Bungeni, Ikulu yafafanua kuhusu Rais Magufuli kumuagiza Mama Samia kwenye Mkutano wa Marais, Jengo la ghorofa 16 kuanza kubomolewa leo Dar…