Uteuzi wa Rais Magufuli umegusa wawili leo, mmoja Katavi mwingine Mwanza..
Bado Rais Magufuli yuko kwenye mipango ya kuisuka Serikali yake ya awamu ya tano iendelee na kazi aliyoahidi Watanzania, najua kama umekuwa karibu na vyombo vya habari wiki moja iliyopita…
Matatu ya Waziri Mkuu Majaliwa >> elimu bure, chakula? TBC live? Mikutano marufuku?.. (+Audio)
Vikao vya Bunge vimeanza Dodoma, na kila updates zinapotokea nakuwa mstari wa mbele kuhakikisha kwamba hakikupiti kitu, kuna maswali matatu alifikishiwa mezani Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano…
Kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya kivuko cha Kilombero.. RIP
Jana January 29 2016 kulikuwa na taarifa ya kutokea ajali ya kivuko cha Kilombero kilichokuwa kimepakia watu pamoja na magari, wapo waliofanikiwa kutoka salama lakini bado wengine hawakuwa wametoka... jitihada…
Umoja wa vijana CHADEMA watoa siku mbili kwa Serikali kubadili maamuzi haya …
January 29 makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA umefanyika mkutano wa umoja wa baraza la vijana CHADEMA taifa, pamoja na umoja wa CHADEMA wa wanafunzi wa vyuo…
Rose Ndauka kibiashara zaidi… katuletea magazine yake inaitwa ‘Rozzie’
Baada ya kimya cha muda mrefu mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo Rose Ndauka amekuja na ujio mpya wa Hard Copy ya Magazine yake ya Rozzie ambayo awali ilikuwa ikipatikana…
Mambo nane ya kufahamu kuanzia mwanzo penzi la Wema Sepetu na Idris walivyokutana.. (+Audio)
Hii ni sehemu ya vitu ambavyo watu wengi hawakuvijua kuhusu stori za Wema Sepetu na Idris, stori zimekuwa nyingi na mwisho wa yote wameamua kuweka wazi kila kitu kuanzia siku…
Uchambuzi wa stori kubwa redioni JAN 29 >> Ajali.. Bunge ‘live’? CUF na Z’bar? na mengine..
Mali za mabilioni zataifishwa kwa baadhi ya watuhumiwa mbalimbali wa kesi za rushwa, uhalifu na ubadhirifu... Serikali yasema TBC haiwezi kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge kutokana na…
Ukweli wa taarifa za Mzee Yusuf kuoa mke wa tatu uko hapa
Mzee Yusuf ni staa kutoka kwenye muziki wa Taarab Tanzania, moja ya stori zilizomfanya aongelewe zaidi ndani ya hizi wiki ni habari zake zilizosambaa kwamba ana mpango wa kuongeza mke…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 29 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 29 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
VIDEO: Juma Duni Haji anauonaje utendaji wa Rais Magufuli?
Juma Duni Haji alikuwa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2015, hapa anafunguka kuhusu namna anavyouona utendaji kazi wa Rais Magufuli na mengine usiyoyajua. https://www.youtube.com/watch?v=KkMAm3NbIRk&hd=1 Unataka kutumiwa…