Top 10 News kutoka Magazeti ya Tanzania >> JK, El-Nino, ‘elimu bure’, mauaji ya radi, na mengine
Ni Jumamosi January 16 2016, kila siku kuanzia saa 12 asubuhi nakusogezea tweets za stori kubwa kwenye magazeti ya Tanzania, hapa ninazo 10 zenye nukuu za uzito zaidi kutoka kwenye kurasa…
Kilichoandikwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo January 16 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
Ni Jumamosi ya January 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache…
VIDEO: Kasi ya Rais Magufuli ilivyomgusa mkuu wa Wilaya Kinondoni
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameendelea kuonyesha jitihada za kuhamasisha huduma ya elimu bora kwa kila Mtanzania iliyoanzishwa na Rais Magufuli, hapa nakukutanisha na video ya baadhi ya wadau walivyoungana…
VIDEO: Daraja la Kigamboni Dar linalojengwa juu ya maji
Daraja la Kigamboni Dar lilianza kuchukua headline mbalimbali kuanzia mwaka 2012, tayari nimekusogezea video ikionyesha hatua ilivyofikia hadi sasa katika ujenzi wake. https://www.youtube.com/watch?v=N7oa-96xsgU Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa…
Unaweza kusoma kurasa za mbele na nyuma za Nipashe na The Guardian January 16
January 16 imeanza kwa kunifikia magazeti mawili tayari ya January 16. Gazeti la Nipashe na gazeti la The Guardian, unaweza kusoma headlines za kurasa za mbele na nyuma zilizobeba uzito…
Haya ndio maisha ya Avril baada ya kuondoka Ogopa Djs…(+Audio)
Mkali wa hits kadhaa kama single ya Mama, Chokoza, Nikimuona na nyingine... hits ambazo zilitoka kwenye mikono ya Ogopa Djs kutokea nchini Kenya Avril, Staa huyo alikuwa chini ya Ogopa…
Video zenye magoli ya kukumbukwa Kombe la Mapinduzi 2016 …
Usiku wa January 13 n siku ambayo michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016 ilimalizika visiwani Zanzibar kutoka katika uwanja wa Amaan. Michezo kadhaa tuliona ikivutia kwa soka na…
Rais Magufuli anaendelea na kazi, maamuzi yake yameigusa Mwanza leo..
January 15 2016 ndio inaelekea mwisho wa siku lakini habari ni wakati wowote, inaponifikia mpya yoyote ni jukumu langu pia kuhakikisha haupitwi na hauchelewi pia kujua kinachoendelea. Ninayo ripoti ya Mwanza,…
Vitu vinne vitakavyovutia mashabiki wa soka watakaotazama michuano ya CHAN Rwanda 2016
Bado tunahesabu saa kadhaa tu ili kuweza kushuhudia michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani ya Afrika, michuano ambayo itaanza January 16, mwenyeji Rwanda kucheza…
Hii wenyewe wanaiita taxi ya kwanza inayopaa, haina dereva.. unaruka nayo pekeyako.. (+Video)
Teknolojia inaruhusu sasahivi kukutana na mambo mapya makubwa na yenye records nyingi kwenye headlines.. kila kitu kinabadilika, na kama ni kizuri lazima kikinifikia na mimi nakusogezea pia. Mzigo umeletwa na…