Waziri Prof.Makame Mbarawa ana haya manne kutoka TANROADS…
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa leo ametembelea ofisi za TANROADS Dar es salaam na kuzungumza na wafanyakazi wake. Profesa Mbarawa amesema kuna sekta tatu muhimu ambazo ni moyo wa nchi ya…
Shilole ana ‘stress’ za kuachwa na mpenzi ?! Ameshamnasa mpya? Kayajibu yote.. #UHeARD (+Audio)
Mwaka 2016 umeanza huku kukiwa na stori kubwa ya mastaa wawili wa muziki waliokuwa na uhusiano wa kimapenzi, Shilole na Nuh Mziwanda kutengana na kila mmoja kuendelea na maisha yake.…
#NewVIDEO nyingine mpyampya kwa 2016 kutoka kwa mrembo Linah.. ‘Nia Yangu’
Kama umebahatika kuwa karibu na radio, TV stations pamoja na mitandao basi utakuwa umeona kasi ya nguvu kwa mastaa wa Bongo TZ wakikimbizana kuangusha midundo mipya kila wakati. Linah Sanga…
Mzee Majuto mipango kama Mr.Bean ? anasema ujio wa movie zake 10 utakuwa hivi.. (Audio)
King wa comedy Bongo, Mzee Majuto leo amekuwa mmoja wa waliosikika kwenye show ya 'XXL' redio Clouds FM akigusia kuhusu mipango yake. Mzee Majuto amesema ametengeneza movie sita na ana mpango…
Rais MAGUFULI naye kaguswa na ushindi wa Mbwana Samatta!! kayaandika haya..
Jana Tanzania iliandika historia katika medali ya soka Afrika na duniani baada ya mshambuliaji Mtanzania anakipiga katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samatta kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika…
Baada ya kuwamwaga Yaya Toure na Andrew Ayew, Aubameyang kajibu hapa stori za kwenda Arsenal …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon anayekipiga katika klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani Pierre-Emerick Aubameyang ameingia kwenye headlines usiku wa January 7, baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji…
Hekaheka ya Shetta alivyonaswa kona akijipanga ‘kuchepuka’… (+Audio)
Staa wa hit singles kadhaa Bongoflevani, Shetta amealikwa kwenye show ya 'Leo Tena' radio Clouds FM... kama kawaida, kwenye story moja mbili jamaa akagusia pia Hekaheka aliyowahi kukutana nayo. Shetta…
Jionee na hii teknolojia ya choo kinachomaliza majukumu yako yote baada ya kukitumia..Video
Vipo vyoo vingi vya kisasa ambayo watu wengi wamekuwa wakimudu kuvitumia lakini hiki kingine kimeongezwa teknolojia zaidi kwani kina uwezo wa kufanya vitu zaidi ya tulivyozoea kutumia. Choo hiki cha…
Kisa cha mume wa mtu kilivyoweka sura ya mrembo kwenye mabango barabarani Uganda
Unaambiwa kitu cha mtu ni noma mtu wangu !! Kama uko karibu na stori za mitandaoni huenda umekutana na stori ya picha ya mrembo iliyobandikwa barabarani ikiwa na ujumbe kwamba…
Polisi wameinasa selfie ya mtu na mwenzi wake wanaosakwa kwa wizi Uingereza !!
Najua inawezekana hata wewe unapenda mkiwa kwenye pozi na mpenzi wako mnapiga zenu selfie, kwa kujiachia kabisa yani.. inakuwaje unaambiwa wewe na mpenzi wako mnatafutwa baada ya kupiga selfie ?!…