COMEDY: Girlfriend ukiitwa lunch na boyfriend nenda mwenyewe… yasikukute haya ya aliyekwenda na rafiki zake (video)
Ni kitu cha kawaida Boyfriend kumualika girlfriend wake kwa chakula cha mchana au jioni, au outing yoyote hata kama sio weekend... tazama hii video hapa chini ya mchekeshaji JayMo wa Kenya…
Kama ulikuwa hujui gazeti la Jambo Leo limeuzwa, mipango mingine 2016 nimesogezewa pia..
Kampuni ya Quality Media Group Limited imeinunua kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited ambao ni wachapishaji wa gazeti la kila siku la Jambo Leo na ununuzi huo umeanza December 31 2015 na…
Wizara ya elimu yatoa siku 7, ya Mkapa na Rais MAGUFULI, watakaokula fedha za elimu bure..#MAGAZETINI
MWANANCHI Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amelipa siku saba Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutoa maelezo kwa kubadili mfumo wa kupanga madaraja ya matokeo…
Kutana na #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 8, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
D’Banj anaisogeza mpya yenye midundo ya kipekee, ‘Emergency’ – (Audio)!
Staa na mmoja ya wakongwe wa muziki kutoka Nigeria, D'Banj anafungua mwaka kwa kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa single yake mpya 'Emergency' ikiwa ni single ya…
Kama unakwepa kuoga ukitegemea perfume, nayo inaweza kukuletea balaa !! Cheki na hii ya Uingereza..
Stori inatoka Uingereza ambapo kijana mmoja Thomas Townsend mwenye umri wa miaka 16 amefariki, uchunguzi unaonesha kilichosababisha kifo chake ni matumizi makubwa ya spray za manukato mwilini. Najua kuna watu…
Msimamizi wa bomoabomoa kuanguka ? Hali ya Askofu Pengo? Nauli za mwendokasi? #StoriKUBWA
Najua huenda siku yako ilianza ukiwa busy ukashindwa kusikiliza uchambuzi wa stori za Magazetini January 8 2016, hapa nina nukuu chache za uchambuzi huo. Mzee Mkapa, Jaji Warioba na Rais…
VIDEO: Magoli ya Azam FC vs Mafunzo FC 1-2 Mapinduzi CUP 2015
Hii ni January 7 2016 kutoka kombe la Mapinduzi 2016 linaloendelea Zanzibar ambapo Azam FC inayofundishwa na kocha Stewart Hall ilivunja rekodi yake yenyewe kwa kutolewa katika michuano ya kombe hili kwa…
January 8 2016 magazeti 17 ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo
Good Morning mtu wangu !! January 08 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti 17 ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea…
Rais Magufuli kaziachia bilioni 18.77 tayari…kodi imekusanywa vipi ikilinganishwa na mwaka 2014?
Siku chache tu baada ya kuuanza mwaka 2016, tayari ile ahadi ya Rais John Pombe Magufuli kuhusu kutoa elimu bure kwa Watanzania imeshaanza kutekelezwa ambapo Waziri wa Fedha Dr. Philip Mpango amethibitisha…