Cheki video ya vituko vya mashabiki na magoli ya mechi ya Mtibwa Sugar 1-2 Yanga Mapinduzi Cup 2016 …
Usiku wa January 7 ulipigwa mchezo wa mwisho wa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani dhidi ya klabu…
Video: Dakika 4 za Mbwana Samatta akinyakua tuzo ya mchezaji bora Afrika 2015
Jan 7 2016 Mtanzania Mbwana Samatta aliandika historia nyingine katika ulimwengu wa soka mara baada ya kujinyakulia ushindi wa mchezaji bora wa soka Afrika 2016, bonyeza Play hapa chini kuona…
Memory za Ijumaa: Trey Songz alipomfanyia massage shabiki wa kike jukwaani mbele ya mamia (video)
Trey Songz ni mwimbaji staa wa Marekani ambaye amekua akitajwa katika list ya Waimbaji wanaopendwa na mabinti na hata nyimbo zake zimekua za mapenzi kwa asilimia kubwa, sasa kwenye hii…
Kumaliza safari salama ni Mungu tu.. hizi ajali za Malori zilizonaswa kwenye video zikitokea livelive zinatisha
Ajali huwa zinatokea popote na wakati mwingine tunapona sababu ya rehema za mwenyenzi Mungu ila pamoja na hayo, kufata sheria za barabarani kama vile kukaa mbali na mwenzako mnapofatana au…
VIDEO MPYA: Mzee Majuto na comedy zake kashirikishwa na kwenye wimbo.. unaitwa ‘baba’
Kama mazoea yako yapo tu kwenye kutazama vichekesho vyake kupitia maigizo au movie, inabidi ujue kwamba Mzee Majuto kashirikishwa na kwenye wimbo, hii ndio mara yangu ya kwanza kuona kashirikishwa…
Hii ndio list ya waliomuwezesha Mbwana Samatta kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika …
Najua headlines kwa sasa ni stori za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Aly Samatta kutwaa tuzo ya…
Ushindi ni wa Mtanzania Mbwana Samatta Tuzo za mabingwa wa soka Afrika
Usiku wa kuamkia January 08 2016 najua kuna Watanzania ambao macho na masikio yao yalielekezwa Nigeria ambako zilikuwa zinatolewa Tuzo za wakali wa soka Afrika. Good news ni kwamba staa…
Mabilioni ya elimu bure ya Rais Magufuli, Mwanza zimepokelewa hizi…
Good news ni kwamba yale mabilioni ya elimu bure ya rais Magufuli tayari yameshawafikia watu wangu wa Mwanza….Kazi inabaki kwako mtu wangu kuhakikisha mwanao nae anayatumia kwa ufasaha ili ajikwamue…
Hiki ndio kikosi cha Yanga kilichoichapa Mtibwa Sugar katika dimba la Amaan, Cheki matokeo …
Mchezo wa mwisho wa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi umepigwa usiku huu katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar, huu ni mchezo ambao umezikutanisha timu za Mtibwa Sugar…
Rais Magufuli, Mkapa na Jaji Warioba wamekutana Ikulu na haya ndio waliyoyajadili.. (+Pichaz)
Rais John Pombe Magufuli leo Januari 7, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde…