Kutana na video ya mkusanyiko wa chenga 20 za maudhi kwa mwaka 2015 za Neymar wa FC Barcelona …
Bado siku chache tu mtu wangu wa nguvu tuumalize mwaka 2015 na kuingia mwaka 2016, kuna mengi yametokea kwa mwaka 2015 katika tasnia tofauti tofauti, siku sita zimebakia ili kuweza…
Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake …
Usiku wa December 24 ulikuwa ni usiku ambao zilizagaa au kuvuja habari za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
List ya wachezaji 10 bora wa Marca 2015 imetoka, Cristiano Ronaldo amekuwa wa tatu kutoka mwisho, icheki hapa …
Mwaka 2015 ni umekuwa ni mwaka wa mafanikio kwa klabu ya FC Barcelona ya Hispania kwani imefanikiwa kutwaa mataji matano, FC Barcelona ambayo inatajwa kuwa ni timu namba moja kwa…
Umesheherekea wapi Merry Christmas? Beach za Dar ilikuwa ni noma… (Pichaz)
Siku za weekend ni kawaida watu kushinda nyumbani na familia au kuwa sehemu wakibadilishana mawazo, wengine hutumia muda huo kutembelea ndugu na jamaa.. lakini inapofika Sikukuu huwa tofauti, wapo wanaopendelea…
Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass …
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa bara la Ulaya shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na Afrika, Mtu wangu wa nguvu…
Ligi Kuu Tanzania na Uingereza watafungua zawadi za Christmas kwa michezo 16 Dec 26 na 27 …
Ikiwa bado watu wapo katika shamrashamra za sikukuu ya Christmas, sio vibaya nikukupa taari za wapi ukafungulie zawadi zako za Christmas siku ya Jumamosi ya December 26 Boxing Day au hata…
Exclusive Interview na Alikiba kabla ya show yake Escape One kesho Dec 26, mafanikio ya 2015, Ben Pol na mengine
Wakati inasubiriwa show ya Alikiba Escape One Mikocheni Dar es salaam kwenye boxing day December 26, kuna hii Interview ya Alikiba akihojiwa na Millard Ayo na kuzungumzia sehemu ya mafanikio yake 2015,…
Licha ya kuwa leo ni Sikukuu, lakini huu ndio muonekano wa Tanga Dec 25….(+Pichaz)
Leo Dec 25 ni siku ambayo Wakristo wa mataifa mbalimbali huisherehekea kama siku ya Christmas, Tanzania pia ikiwa ni miongoni mwa nchi hizo. Ingawa tumezoea kuona shamrashamra nyingi katika siku…
Mastaa waliotoa ujumbe wa Merry Christmas leo Deo 25….. #instagram
Leo Dec 25 ni sikukuu ya Christmas sasa hapa nimekusogeza kile kilichoandikwa na mastaa mbalimbali kuhusiana na siku ya leo. Nawatakia mery xmass na mwaka mpya mashabiki wangu wa ukweli…
Mabibi na Mabwana Prezzo katuletea hii video mpya ‘Mrembo’ itazame hapa….(+Video)
Rapper kutokea 254, Prezzo time hii ametuletea hii video yake mpya ya single iitwayo 'Mrembo' itazame hapa https://www.youtube.com/watch?v=3JQo6CERql0&app=desktop Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa…