Video: Msanii wa bongofleva anasimulia mwenyewe alivyoitiwa Mwizi juzi kati Kinondoni usiku
Msanii wa bongofleva Edu Boy anasema kama sio Mungu basi leo zingekua zimeandikwa habari nyingine, ni baada ya kufananishwa na mmoja wa vijana kwenye kundi Wezi waliofanya uhalifu usiku huohuo maeneo…
Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha..
Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa. …
kama siku yako haijafika ni haijafika tu… tazama hizi dakika 9 uone watu wanavyokoswakoswa
Ni kumuomba Mungu tu siku zote na kama hajapanga hiyo siku iwe ya mwisho kwako, hata iweje haitakuwa ya mwisho.... kwenye hii video hapa chini kuna mkusanyiko wa matukio ya…
Magazeti ya Tanzania December 18 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 18 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Video ya bomoabomoa Kinondoni Dar es salaam Dec 17.
Dec 17 2015 kazi ya kuwahamisha wananchi wote waishiyo katika maeneo hatarishi iliendelea kwa kuzibomoa nyumba zote zilizopo mabondeni katika baadhi ya maeneo Dar es salaam ikiwa ni pamoja na…
Exclusive: Shilole alivyoolewa na dereva wa Lori, alivyouza soda stand ya basi na kuletwa Dar mara ya kwanza
Shilole ni mwigizaji lakini pia msanii kwenye bongofleva ambao ni muziki wa kizazi cha sasa Tanzania, ni miongoni mwa mastaa wa kike wenye mapito yao kwenye haya maisha ambapo leo…
Mapaparazzi wakamnasa Mourinho kwenye hii video akiondoka uwanjani baada ya kufukuzwa kazi Chelsea
December 17 uongozi wa club ya soka ya Chelsea kupitia kwa mmiliki wake Roman Abramovich ulitangaza uamuzi wa kumfuta kazi kocha Jose Mourinho baada ya kuongoza Chelsea mechi 16 msimu huu, kufungwa tisa, kushinda nne…
Unaikumbuka hii ya mshika kibendera kushangilia goli na mchezaji kwa kucheza Gangnam Style? (+Video)
Achana na mzuka wa goli wakati mwingine unaweza jikuta unashangilia pasipo kupenda, unakumbuka headlines za marefa kushangilia magoli, unakumbuka ile hit single ya Gangnam Style ya msanii wa Korea PSY ambayo…
Vanessa Mdee aendelea kushika namba 1 TraceTV, tazama wengine 9 aliowaacha
TRACE TV TV station ambayo inatazamwa sana na inasifika kwa kucheza mziki mzuri, sasa Dec 18 kwenye chati ya video 10 kali za Afrika, Mtanzania Vanessa Mdee kavunja rekodi kupitia…
Tabasamu la Ronaldo kwenye headlines za mradi wa zaidi ya Bilioni 170 za kibongo …
Najua mwaka 2015 umekuwa wa headlines nyingi kwa staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ambaye amerudi tena katika headlines na…