Ilikupita? Mchekeshaji Kansiime wa Uganda alivyomtaja Rais Magufuli kwenye post Facebook
Kazi aliyoifanya Rais Magufuli toka ameingia madarakani kwenye hizi siku chache imegonga kwenye headlines za nchi nyingi ikiwemo Uganda ambako mchekeshaji wake Kansiime ambaye tunamtazama sana kwenye video za YouTube…
Director Justin Campos ashoot video mpya ya Kayumba wa BSS 2015..(Picha)
Ni director ambaye alishawahi kufanya kazi na baadhi ya wasanii kutoka Tanzania akiwemo, Vanessa Mdee 'No Body But Me', Shaa - Toba, Joh Makini - Don't Bother, Jux - Looking…
Chelsea wapokea kipigo cha 9 dhidi ya Leicester City, Vardy na mbaya wa Taifa Stars wapachika magoli (+Pichaz)
Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena usiku wa December 14 kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la King Power, timu zote za Ligi Kuu Uingereza zilikuwa zimecheza mechi 16 kila moja…
Kilichomfanya Waziri Mwigulu Nchemba kugeuza gari na kutokwenda ofisini kwake December 14
Mwigulu Nchemba ni waziri mpya wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwenye serikali ya awamu ya tano Tanzania inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli ambapo December 14 2015 Mwigulu alichukua headlines za…
Kuelekea michuano ya Euro 2016 Ufaransa, hizi ndio sheria mpya zilizotangazwa na UEFA …
Kuelekea michuano ya Mataifa ya Ulaya 2016 (Euro 2016) yatakayofanyika Ufaransa, Chama cha soka barani Ulaya UEFA kimetangaza sheria mpya kuelekea michuano hiyo.Sheria hizo zilizotungwa na UEFA zinahusisha mechi za…
Good News: Mr. Nice katuletea ngoma mpya inaitwa Kioo…(+Audio)
Mkali wa Miondoko ya TAKEU Lucas Mkenda a.k.a Mr. Nice aliyewahi kutamba ndani na nje ya Bongo katika kipindi cha miaka ya 2000 kwa ngoma kali kama vile Rafiki, Kikulacho…
Kutana na mchekeshaji anayemuigilizia Rais Magufuli kuongea… yani mulemule ! (+video)
Ni mchekeshaji na mwigizaji wa sauti ambaye anaweza kusimama mbele yako na kwa uhakika hautaondoka bila kucheka... kutana na Mlugaluga, Mtanzania aishie Dar es salaam ambaye kazi yake pia ni…
Mbwana Samatta kwenye stage moja na Yaya Toure Tuzo za CAF January 7 2015 Abuja Nigeria …
November 2 shirikisho la soka barani Afrika CAF limetangaza majina 1o ya wachezaji soka wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika sambamba na majina ya wachezaji 10 wengine wanaowania tuzo hiyo kwa wachezaji…
Rooney anaweza kulipa wachezaji, viongozi, makocha wa Ligi Kuu TZ. Cheki TOP 10 ya mishahara ya mastaa wa EPL …
Baada ya dirisha la usajili la Ligi Kuu Uingereza kufungwa mara nyingi wachezaji wanaosajiliwa kwa dau kubwa huwa wanaingia katika headlines za kupanda kwa mishahara yao. Miongoni mwa wachezaji wapya…
Maneno ya Zitto Kabwe baada ya Samatta kutajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika
Headlines za soka Dec 14 kwa bara la Afrika ni kuhusiana na wachezaji walioingia 3 Bora kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika Mwaka 2015,.. ambapo kati ya list ya…