Watanzania wanne walioshinda tuzo siku ya msanii Dec 12 2015 Tanzania
Ni kutoka Dar es salaam usiku wa December 12 2015 ambapo zilitolewa tuzo za heshima kwenye siku ya msanii, details zote zipo kwenye hii video hapa chini.. https://www.youtube.com/watch?v=vTQ69P3sOb0 Unataka kutumiwa…
Mrembo wa Tanzania kwenye taji la Miss Universe na Vazi la jioni..Pichaz
Leo nakukutanisha na warembo 7 wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika kwenye stage ya Miss Universe zitakazofanyika Dec.20 katika ukumbi wa Planet Hollywood Las Vegas Resort & Casino katika jiji la…
Video ya magoli ya Azam FC vs Simba Dec 12 2015! Full Time 2-2
December 12 2015 ilikuwa siku nyingine kubwa kwa mashabiki wa soka la bongo, kwani ndio siku ambayo ulipigwa ule mchezo wa Azam FC dhidi ya Simba uwanja wa Taifa Dar…
Umeme kushuka bei, Mawaziri wa JPM, wakwepa kodi hadharani, Uchaguzi Arusha…#MAGAZETINI
HABARILEO Makampuni 15 yaliyokwepa kodi baada ya kutorosha makontena yao, yamejisalimisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), lakini yameshindwa kulipa kodi ndani ya siku saba za msamaha wa Rais John Magufuli.…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye MAGAZETI ya leo Dec.13 ya Tanzania Septemba7, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Ni time nyingine kwa wanavyuo UDSM, CBE , IFM kwenye #TIGOuniversityVIP…(Picha)
Tigo imekua ikitoa nafasi za watu wa nguvu kwenye vyuo vya UDSM, IFM, CBE- DAR, Utumishi Mtwara na Mzumbe Morogoro kuenjoy weekend zao na marafiki baada ya kushinda kwenye droo…
Magazeti ya Tanzania December 13 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 13 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram…
Pichaz jinsi kilivyohappen kwenye shangwe za After Skul Bash…..
XXL ya cloudsFM kila mwaka hufanya party ya wanafunzi wote waliofunga shule ikiwa ni pamoja na wa shule ya Msingi,Sekondari,kwa pamoja party hii inaitwa After skul Bash,hii inaendelea sasa hivi…
Ujumbe wa Mario Balotelli kuhusu Euro 2016 unaoshangaza wengi !!!
Kuelekea michuano ya Euro 2016 mshambuliaji wa Liverpool aliyepo kwa mkopo katika klabu ya AC Milan ya Italia Mario Balotelli, ameingia katika headlines baada ya kuandika ujumbe ambao hadi sasa…
Pichaz 20 za maadhimisho ya siku ya msanii Tanzania pamoja na washindi wa tuzo nne za heshima …
Siku ya msanii ni siku maalum ambayo Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) lilibuni siku hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2008 katika kutekeleza sheria No:23 ya mwaka 1984 iliyounda Baraza hilo.…