Kwenye stori kubwa >> Roberto na collabo TZ? album ya Weusi? Kala Jeremiah na ngoma mpya.. (+Audio)
Muziki umebadilika siku hizi, watu wanauza shows na maisha yanaenda sio kama zamani ile ishu ya kuuza album, Weusi wana mawazo tofauti kuhusu wazo hilo... Nick wa II amesema wao…
Picha 18 za Dec 11 ulipofikia utekelezaji wa maagizo ya Rais Magufuli Barabara Morocco-Mwenge
November 30, 2015 taarifa kutokea Ikulu zilisema kwamba Rais John Pombe Magufuli aliamuru kwamba fedha ambazo zilitengwa kwa ajili ya kugharamia sherehe za siku ya Uhuru December 09 2015 ambazo ni…
Kitu ambacho hawezi kusahau Mwaikimba katika maisha yake ya soka, alipewa dili na Mrwanda ila (+Audio)
Katika soka kila mchezaji ana rekodi yake iwe nzuri au mbaya, tunajua kupata mafanikio sio rahisi, kuna njia tofauti tofauti ambazo watu wanazipitia ili waweze kufanikiwa. Gaudence Mwaikimba ni mshambuliaji…
Video ikionyesha siku Davido na Wizkid walipotumbuiza pamoja December 2015
Wawili hawa wapo kwenye list ya mastaa wa Nigeria waliokuwa na 'beef' huku vyanzo vya ugomvi huo vikitajwa kuwa zaidi ya kimoja ila hakuna lisilokuwa na mwisho, kwenye tuzo za…
Adele kafanya exclusive na kasema haya kuhusu single yake mpya ‘Hello’, umaarufu & social media!
Kati ya wasanii ambao mwaka huu umetokea kuwa poa sana kwao huwezi kuacha kulitaja jina la staa wa muziki kutoka Uingereza, Adele... Hivi karibuni Adele aliziteka headlines na ujio wa…
Z Anto kurudi kwenye bongo fleva? kamtaja atakayesimamia kazi zake…..
Headlines za Bongo Fleva leo Dec 11 zinakwenda kwa mkali ambaye alishawahi kumiliki hit single ya 'Binti Kiziwi'. Msanii huyo akiongea exclusive interview na ripota wa millardayo.com alisema kuwa ana…
Wakati Van Gaal analalamikia kiwango cha Schweinsteiger, FA wamuongezea Stress Schweinsteiger kwa adhabu hii …
Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayachezea klabu ya Manchester United ya Uingereza Bastian Schweinsteiger ameingia katika headlines baada ya shirikisho la soka Uingereza (FA) kumfungia mechi tatu. Bastian Schweinsteiger amekumbana na adhabu…
Marekani imemkubali Wizkid, kaibuka kwenye collabo nyingine… R. Kelly Feat. Wizkid- ‘I Just Want to Thank You’ (Audio)
Najua ukitaja majina ya mastaa ambao wameingia kwenye headlines kubwa 2015 kwa kukubalika kwa uzito mkubwa Marekani, Mnigeria Wizkid nae yumo. Sio kitu rahisi staa wa muziki kutoka Afrika kuomba…
Michelle Obama amekuwa rapper ??!! Mcheki kwenye video yake kabisa..
Unadhani ni stori ya kawaida eti kukutana na mke wa Rais anaimba rap ?? Mrs Obama ameingia upande huo !! Hiki ni kipande cha video ya dakika 2 cha wimbo…
Mambo manne ya kufahamu kutoka kwa Nicki Minaj >>> ‘Ndoa, muziki, siasa na mapenzi’
Staa wa muziki wa HipHop kutoka Marekani, Nicki Minaj maarufu pia kama The Rap Queen anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani. Baada ya kuchaguliwa kwenye vipengele vitatu vya…