Comedy: Baba Levo alipokwenda kwa Mganga kisa Yamoto Band wanakwenda sana Ulaya wakati yeye hajawahi
Baba Levo ni msanii/mchekeshaji pia Diwani, kwenye hizi video hapa chini kuna sauti zake za utani wa vitu mbalimbali ikiwemo ishu ya yeye kusikia wivu baada ya kuona Wasanii wa…
Vanessa Mdee kashika namba 1 TraceTV, tazama wengine 8 aliowaacha
TRACE TV TV station ambayo inatazamwa sana na inasifika kwa kucheza mziki mzuri, sasa Dec 10 kwenye chati ya video 10 kali za Afrika, Mtanzania Vanessa Mdee kavunja rekodi kupitia…
Trailer na Interview za movie ya ‘Going Bongo’ itayoonyeshwa cinema Dsm kesho
December 11 2015 kwenye Cinema Mlimani City Dar es salaam kutaonyeshwa kwa mara ya kwanza movie ya Mtanzania Ernest Napoleon iitwayo 'Going bongo' ambayo imechezwa Marekani na Tanzania, kwa Trailer…
AyoTV: Roberto wa ‘Amarula’ kaja Dar… katuambia jinsi Magufuli alivyochukua headlines Zambia
Mwimbaji staa wa single ya 'Amarulah' Roberto kutoka Zambia ameshawasili Dar es salaam kwa ajili ya kufanya show Escape one Mikocheni Dsm Dec 11 2015 na kisha Dodoma ambapo kwenye…
Dakika 2 za aliyoyasema Edward Lowassa Arusha kuhusu imani yake na mengine
Aliyekua mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA 2015 Edward Lowassa aliyatoa haya maneno mbele ya Wananchi wa Arusha kwenye kampeni za ubunge ambapo Godbless Lema anagombea ubunge wa Arusha mjini,…
Liverpool yashindwa kutamba katika dimba la Stade de Tourbillon dhidi ya FC Sion, imepata matokeo haya (+Pichaz)
Baada ya mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kumalizika usiku wa December 9 na kushuhudia vilabu 16 vikitinga hatua ya 16 bora na vilabu vingine 16…
Top 10 ya post za mastaa wa bongo Dec 10 za kwenye kurasa zao za instagram
Najua kuna watu wangu wanapenda kufuatilia mambo yanayoendelea kwa mastaa wetu wa kibongo, Hapa nimekukusanyia Post 10 kutoka kwa mastaa tofouti walizoziweka katika account zao kwenye mitandao ya kijamii leo Desember…
Cheki TBT Pichaz za utoto za mastaa wa soka Maradona, Pele, Pato na Peter Cech …
Kama ilivyo ada mtu wangu imekuwa ni kawaida kwa watu mbalimbali kupost picha zao kwenye mitandao ya kijamii kama kumbukumbu ya kule walipotokea. Alhamisi imekuwa kama siku maalum ya kuweka hizo…
Kutoka Ikulu kuhusu tarehe ya kuapishwa kwa Mawaziri na Manaibu waziri….
Taarifa iliyonifikia kutoka ofisi ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais, Ikulu kuwa Mawaziri na Manaibu Waziri walioteuliwa leo Dec 10, 2015 na Rais wa awamo ya tano wa Jamhuri ya…
Ni kweli Emmanuel Okwi anarudi Simba? makamu wa Rais wa Simba ana majibu haya …
Wiki headlines za mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Uganda Emmanuel Okwi ambaye kwa sasa anacheza soka la kulipwa nchini Denmark, stori zake za…