Utapenda kuona hii dance cover ya hawa wakaka wakicheza, ‘What Do You Mean’ ya Justin Bieber+ (Video)!
Kwenye list ya wasanii kutoka Marekani wanaofanya vizuri sana kwenye headlines za muziki sasa hivi, huwezi kuacha kulitaja jina la staa wa muziki, Justin Bieber. Hivi karibuni Justin Bieber alidondosha…
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu na Bongo Movie walivyoisafisha Kinondoni leo … (+Picha)
Headlines za usafi ni kila sehemu ambapo leo Dec 9, 2015 wananchi viongozi na mastaa mbalimbali wa wameungana kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama... camera ya millardayo.com imefika Wilaya ya…
Picha 11 za Rais Magufuli mguu kwa mguu akifanya usafi Dar es salaam leo
Agizo lilitoka kutoka kwa Rais Magufuli, na kilichokuwa kinasubiriwa ni siku yenyewe kushuhudia utekelezaji wake... Happy UHURU DAY TANZANIA.... YES, siku imeanza na mzigo wa nguvu kupiga usafi mtaa kwa…
Vichekesho vya Kansiime kuhusu wanaume wanaosaliti wake zao kwenye ndoa! – (Video)
Unadhani ni kwanini wanawake wengi huacha kujipenda baada ya kupata watoto? Majukumu yanakuwa mengi zaidi ama? Nimekutana na video moja ya comedy kutoka +256 ya mtu wetu Kansiime Anne ambapo…
Hii ndio sababu ya wimbo wa Drake ‘Hotline Bling’ kutokuepo kwenye tuzo za Grammy’s 2016…
Rapper kutoka kundi la muziki la Cash Money Records, Drake ni miongoni ya wasanii waliofanikiwa kuingia kwenye nominations za The 58th Grammy Awards akiwa anawania vipengele kadhaa, baadhi vikiwa Best…
Magazeti ya Tanzania December 9 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 9 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Picha 47 kutoka kwenye show ya Koffi Olomide Dec 8 Dar es salaam ! kuanzia red carpet mpaka ndani
Usiku Dec 8 wakazi wa Dar es Salaam walipata burudani kali kutoka kwa mwimbaji wa Congo DRC Koffi Olomide kwenye show ya Selfie 16 na kusherehekea kutimiza miaka 16 ya…
Muheshimiwa Mbunge Profesa Jay alivyoianza kazi jimboni kwake Mikumi (audio+pichaz)
Staa wa kitambo kwenye bongofleva ambaye kwa sasa ni Muheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mikumi Morogoro Tanzania Profesa Jay ameanza kuvisogeza vichwa vya habari karibu yake baada ya kuanza kuwafanyia…
Kwanini kocha wa Majimaji FC hajarudi Tz mpaka leo? mchezaji aliejipeleka Mbeya City je?
Maswali yote haya yanayo majibu yake, usajili wa Wachezaji wawili walioufanyia maamuzi Majimaji FC, Wachezaji walioachwa, mchezaji wa Majimaji FC anayetajwa kutaka kusajiliwa na Mbeya City? kocha wa Majimaji ambaye ni…
Msisitizo wa Ikulu kuhusu siku ya Dec 9 na salamu za Rais Magufuli kwa Watanzania
Ni taarifa ya Ikulu iliyonifikia December 8 2015 jioni ni kuhusu msisitizo wa Ikulu kuhusu siku ya December 9 2015 ambayo ni siku ya Uhuru, vilevile kwenye hii video hapa…