Hii ndio Top 5 ya wachezaji wanaoongoza kwa kuoneshwa kadi nyingi katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
Bado michezo nane hatua ya makundi imalizike, baada ya December 8 kuchezwa michezo nane lakini Usiku wa Jumatano ya December 9 ndio siku ambayo jumla ya timu 32 zitakuwa zimemaliza…
Real Madrid wahitimisha mechi za makundi kwa kuichapa Malmoe, Cheki Full Time ya UEFA Dec 8 (+Pichaz&Video)
Mechi za mwisho za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya zinamalizika usiku wa December 8 na usiku wa December 9, tayari mechi za Kundi A, B, C…
Neymar kashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Laliga, ila kaweka rekodi ambayo haiwezi kuvunjwa kamwe …
Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ni tuzo ambayo Ligi nyingi duniani huwa wanayo hata katika Ligi Kuu soka Tanzania bara huwa ipo, December 8 ndio siku ambayo Ligi Kuu…
Ripoti ya kipindupindu iliyonifikia leo, hii imegusa kuanzia August 2015.. (+Audio)
Japo headlines za siasa zilionekana kubeba uzito mkubwa miezi michache iliyopita, bado kuna mengine yaliendelea kwenye upande mwingine ikiwemo ishu ya ugonjwa wa kipindupindu ambao umeendelea kuripotiwa kwenye mikoa mbalimbali…
Utani wa Baba Levo alipopanda Fuso na Msanii Roma Mkatoliki…(+Audio)
Baba Levo ni msanii wa bongofleva pia ni mchekeshaji ambaye huwa haishiwi maneno ya utani hususani kwa mastaa wenzake, leo kaja na hii ya siku alipopanda Fuso na Roma Mkatoliki. Bonyeza…
Kazi ya kwanza ya Mbunge Prof. Jay ndani ya siku 20 baada ya kuapishwa Bungeni Dodoma.. (+Pichaz)
Professor Jay ni mwana Hiphop kitambo sana hapa Tanzania, lakini jina lake lina uzito wake wa nguvu kabisa kiasi cha kwamba watoto, vijana, wazee na watu wazima walilifahamu jina lake...…
Duu!! mwanamitindo katimiza ahadi yake ya kuvua nguo baada ya Palmeiras kutwaa Ubingwa …(+Pichaz)
Headlines za Brazil kufanya vizuri katika soka zimekuwa kawaida sana ila siku hizi hii ni mpya kutoka kwa mashabiki wao, inashangaza kidogo, tumewahi kusikia Mrisho Ngassa akiahidi kama atashindwa kufunga…
Dakika 7 kwenye video ya CCM wakiongelea kasi ya Rais Magufuli…(+VIDEO)
Baada ya jana Dec 7, 2015 kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufanya kikao na Mwenyekiti wake Rais mstaafu Jakaya Kikwete, leo Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amefanya mkutano na waandishi wa…
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru kesho..
Kesho tarehe 9 Dec. ni siku kuu ya Uhuru!! Rais wa awamu ya tano John Magufuli alitangaza badala ya siku hiyo kuadhimishwa kama ilivyozoeleka, wananchi waitumie kufanya usafi katika maeneo…
Kama wewe ni mchezaji soka, Kanye West kaja na Adidas Yeezy Ace kwa ajili yako (+Pichaz)
Mkali wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani Kanye Omari West ambaye amezoeleka kwa jina la Kanye West anazidi kuingia katika headlines kila kukicha mtu wangu, hii ni good news…