Kama wewe ni mchezaji soka, Kanye West kaja na Adidas Yeezy Ace kwa ajili yako (+Pichaz)
Mkali wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani Kanye Omari West ambaye amezoeleka kwa jina la Kanye West anazidi kuingia katika headlines kila kukicha mtu wangu, hii ni good news…
Dj Khaled aliziruhusu camera mpaka ndani kwake na kuwaonyesha chumba chake cha viatu..+ (Video)
Kwa wenzetu wa Marekani ni jambo la kawaida kwa wasanii kuonyesha mali walizonazo... wengine huziruhusu camera majumbani mwao na kuzipeleka chumba baada ya chumba, wengine hupenda kuonyesha magari yao huku…
Baada ya TRA kuifungia account ya shirikisho la soka Tanzania (TFF), imenifikia kauli ya TFF hapa …
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema tayari limeshaanza kufanya mazunguzo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kufikia hatma ya akaunti yake kufungiwa. Kupitia kwa Afisa Habari wa Shirikisho hilo,…
Rick Ross amerudi kwenye headlines na hii Official Video ‘Crocodile Python’
Rick Ross ameisambaza kwako video ya ngoma yake mpya ya 'Crocodile Python' ambayo ipo katika album yake mpya ya Black market. Video yake imeongozwa na Ryan Snyders. Karibu uitazame hapa..…
TANESCo walivyokatisha nyumbani kwa Wema Sepetu, kilichofatia ni hiki hapa.. na Idris yumo ?? (+Audio)
Oparesheni ya TANESCO kukagua nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa imeendelea kama ambavyo kumekuwa na story kwenye vyombo vya habari !! Story imegusa mitandaoni, ikamfikia Soudy Brown... leo akaanza na…
Sentensi saba za kilichojadiliwa na CCM kuhusu moto wa Serikali ya Rais Magufuli.
Jana December 07 2015 kamati kuu ya Chama cha CCM ilifanya kikao kikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Rais mstaafu, Jakaya Kikwete. Leo Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amefanya mkutano…
Hizi ndio mechi 16 zitakazoamua ni timu ipi itatinga hatua ya 16 bora ya UEFA December 8 na 9 …
Hatua ya makundi ya mechi za Klabu Bingwa barani Ulaya inamalizika leo Jumanne ya December 8 na Jumatano ya December 9 kwa mechi 16 kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya,…
Matatu kutoka kwa Jaji Lubuva kuhusu Uchaguzi wa wabunge Tanga na Arusha..(Audio)
Zikiwa zimebaki siku chache za kupiga kura kwenye uchaguzi wa wabunge Tanga & Arusha..,sasa hapa ninakusogezea kile kilichozungumzwa na Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kuhusiana na chaguzi hizo.…
Kingine kilichonifikia leo kuhusu mwanariadha Oscar Pistorius..(Video)
Mwanariadha Oscar Pistorius ameendelea kukaa kwenye headlines!! ikiwa ni siku chache tangu hukumu yake itoke, na kushtakiwa kwa mauaji ya kukusudia, kuna hiki kingine kimenifikia kuhusu kesi yake. Jaji anayesimamia…
Video ya dakika 2 yenye tathmini ya siku 30 za Rais Magufuli ndani ya Ikulu..
Naomba zianze na hizi rekodi kuweka mambo sawa mtu wangu >>> Tume ya Uchaguzi NEC ilimtangaza Rais Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha Urais siku ya October 29 2015, siku…