Rais MAGUFULI na ‘kutumbua majipu’, Mbunge Esther Bulaya Mahakamani, Mnyika na ripoti ya TPA.. #MAGAZETINI
NIPASHE Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara, Esther Bulaya, anatarajiwa kutinga Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo baada ya kufunguliwa kesi ya madai ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi…
Kwa wale damdam na muziki wa Jux, karibu uenjoy na mpya yake >>- ‘One More Night’ (Audio)
Kwenye list ya mastaa ambao wanafunga mwaka 2015 wakiwa ndani ya list ya wale ambao midundo yao imefanikiwa kupenya na kukubalika kwenye TV za kimataifa, jina la Jux limo !!…
Wasanii walivyojipanga kutekeleza agizo la Rais MAGUFULI Dec 9…..
Ikiwa ni siku kadhaa tangu Rais wa awamo ya tano Dk.John Magufuli kutoa tamko la hakutakua na sherehe za kitaifa December 9 na badala yake watu watatumia siku hiyo kufanya usafi katika…
Na hili ndio jina alilopewa mtoto wa kiume wa Kanye West na Kim Kardashian…!
Zimepita siku chache tu toka familia ya staa wa muziki wa HipHop Marekani, Kanye West ipokee ugeni wa mtoto wao wa pili kwenye familia yao, ugeni wa mtoto wa kiume...…
Maneno ya DC Paul Makonda kuhusu kufanikisha kutatua mgomo wa kiwanda cha URAFIKI Dar..
Siku chache zilizopita wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha urafiki walifanya mgomo kwa madai ya kutolipwa mishahara yao kwa muda mrefu kupelekea mkuu wa wilaya ya Kinondoni, DC Paul Makonda kuagiza…
Magazeti ya Tanzania December 8 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 8 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Kwa wale mashabiki wa JB na Wema Sepetu…..hii ndio movie mpya itakayokuwa sokoni
Muigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen aka JB anatarajia kuachia filamu mpya wiki ijayo iitwayo Chungu cha tatu Filamu hiyo iliyotayarishwa chini ya kampuni ya Jerusalem Film imeigizwa…
Rekodi 5 za kuvutia za Lionel Messi ambazo hazijawahi kuvunjwa na mchezaji yoyote …
Lionel Messi ni staa wa soka wa kimataifa wa Argentina ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania aliyojiunga nayo mwaka 2001 na mwaka 2003 akaanza kuichezea…
Umeiona video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’? ninayo hapa……
Belle 9 baada ya kutambulisha rasmi single yake mpya Burger Movie Selfie katika vituo mbalimbali vya radio Dec 7 2015, sasa time hii pia ametusogezea na video mpya ya single…
Video: Alichojibu Koffi Olomide baada ya kuulizwa kuhusu Diamond Platnumz na Christian Bella
Mwimbaji wa Congo DRC Koffi Olomide ameshafika Dar es salaam tayari kwa ajili ya show ya Selfie16 kunogesha miaka 16 ya Clouds Escape One Mikocheni Dec. 8 ambapo muda mfupi baada ya…