Monica kamuweka Akon kwenye hii mpya; ‘Hustler’s Ambition’ na angependa ikufikie – (Audio)
Msanii wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Monica Brown maarufu kama Monica ataachia Album yake ya nane Code Red tarehe 18 December 2015... na baada ya kuachia single inayobeba Album…
Juma Nyosso kwenye headlines na ile ishu ya John Bocco baada ya TFF kuridhia hili …
Stori za beki wa kati na nahodha wa klabu ya Mbeya City aliyewahi kutamba na Simba Juma Nyosso amerudi katika headlines November 27, baada ya Chama cha Wachezaji Soka Tanzania (Sputanza)…
Dr. Manyaunyau hajafungwa !! Mengine aliyopitia? Ukondakta, kuigiza, ushirikina? Amejibu haya..
Katika mitandao ya kijamii leo taarifa ilisambaa kuwa Jongo Salum maarufu kama Dr. Manyaunyau amefunguliwa mashtaka ya utapeli na kutakiwa kwenda jela miaka mitatu sambamba na fidia ya zaidi ya milioni 2.…
Miili 35 ya watu ilivyopatikana baada ya mashambulizi ya Boko Haram Nigeria..
Mara ya mwisho kusikia headlines za matukio ya Boko Haram, Nigeria ilikuwa miezi kadhaa iliyopita na eneo la mwisho kusikia Boko Haram wapo lilikuwa Jimbo la Bama... lakini leo kuna…
Serikali haina pesa? zimechotwa na nani? Wizara ya Fedha imetoa majibu kwenye sentensi 9.. (+Audio)
Kama umewahi kukutana na taarifa mitandaoni, kwenye vyombo vya habari au kwingineko basi ninayo majibu yote kutoka Wizara ya Fedha kuhusu ishu ya ukata wa Fedha Serikalini Tanzania. Hii ni…
Licha ya kuwa Kenya ni Bingwa mtetezi wa Kombe la Challenge, Zanzibar Heroes wamewashushia kipigo …
Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na kati maarufu kama CECAFA Senior Challenge Cup 2015, yameendelea tena leo November 27 Ethiopia, michezo iliyochezwa leo November 27 baada ya mapumziko…
Mwana FA kashea na sisi hii cover la single yake mpya ‘Asante kwa kuja’..
Kama wewe ni shabiki wa hitmaker wa single ya Mfalme,Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA basi tutarajie ujio wa single mpya iitwayo Asanteni kwa kuja iliyotayarishwa chini ya producer Hermy B…
Maamuzi mengine ya Rais Magufuli baada ya ziara ya Waziri Mkuu bandarini..
Leo Waziri mkuu Majaliwa Kassim amefanya ziara ya kushtukiza bandarini na kuwasimamisha kazi maofisa watano kutoka katika vitengo mbalimbali kutokana na upotevu wa makontena 349 ambayo thamani ya kiasi cha shilingi…
Weekend playlist yako iwe na hii mpya ya T-Pain: ‘Or Wut’ feat Plies – (Audio)
Kwenye headlines za burudani wiki hii hatuwezi kuacha kuzitaja haedlines za T-Pain ambaye siku chache aliwatangazia mashabiki wake kuwa Album yake mpya Stoicville: The Phoenix itachelewa kutoka na badala ya…
Siku mbili kabla ya mazishi ya marehemu Mawazo, hii ndio mipango ya CHADEMA Mwanza.. (+Audio &Picha)
Ni zaidi ya wiki moja na nusu kumekuwa na habari zikichukua uzito kwenye vyombo vya habari kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Geita, Marehemu Alphonce Mawazo... kilichochukua muda mrefu zaidi…