BREAKING: Dr. Magufuli ametangazwa mshindi kiti cha Urais Tanzania, list yote na asilimia viko hapa
October 29 2015 ndio siku yenyewe matokeo ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 yametangazwa ambapo Dr. John Pombe Magufuli (CCM) ndio ametangazwa mshindi akiongoza kwa asilimia 58,…
TBT: Picha za zamani za Chanongo, Ndemla, Tegete, Chuji, Manyika Jr. na Himid Mao
Tumezoea kuona siku ya Alhamisi watu wengi hutumia siku hii kuweka TBT pichaz zao katika mitandao ya kijamii, mtu wangu wa nguvu kila wiki nimekuwa nikikuwekea TBT pichaz za mastaa kadhaa…
Ni headlines juu ya headlines! Chege yuko South Africa katika maandalizi ya video yake mpya…(+Audio)
Ni stori kuhusu bongofleva na headlines zake nje ya mipaka ya Tanzania ambapo time hii ni ya Chege akiwa yuko Afrika Kusini katika maandalizi ya video ya single mpya iitwayo…
Kura za nani bora zilivyomwangukia Lionel Messi kutoka Brazil… Ronaldo?
Makocha 20 ambao ni professional wa masuala ya soka Brazil wamekutana na kupiga Kura ya kumchagua nani mchezaji bora wa soka kati ya Lionel Messi, raia wa Argentina anayekipiga katika…
Justin Bieber aisambaza official tracklist ya Album yake mpya; ‘Purpose’… isome yote hapa!
Justin Bieber anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani baada ya msanii huyo wa muziki wa Pop kuamua kutumia njia tofauti kidogo kuwatangazia mashabiki wake official tracklist ya nyimbo zote zitakazopatikana…
Baada ya yote, Faiza kathibitisha bado anampenda Joseph Mbilinyi ‘Sugu’
Aliyekuwa mpenzi wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph 'Sugu' Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake lakini bado anampenda na kumthamini. Kupitia kwenye akaunti yake…
Utapenda kuiangalia video ya mdundo mpya wa Kendrick Lamar; ‘These Walls’ – (Video)!
Baada ya kuachia “i,” “King Kunta,” “Alright,” na “For Free?” Kendrick Lamar amerudi tena kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani na official video ya mdundo wake mpya 'These Walls' wimbo…
Maneno ya kwanza ya Profesa Jay baada ya kushinda kiti cha Ubunge. (+Audio)
Bado tupo kwenye headlines za uchaguzi 2015 ambapo msanii mkongwe wa HipHop Tanzania Joseph Haule (Profesa Jay) ni mmoja wa wawashindi wa kiti cha ubunge kwenye uchaguzi huu akiwa amechukua jimbo la…
Gari jipya la Aunty Ezekiel…. anasema sio pesa za kampeni lakini!
Mwaka 2015 unamalizika kwa Wasanii kadhaa wa bongo movie na bongo fleva wakiwemo wa zamani na wa sasa kuonyesha mali zao kama magari pamoja na nyumba wanazomiliki au wanazozijenga. Stori…
ZEC na Uchaguzi Znz, Ubunge Mbagala?, Lowassa na matokeo ya Uchaguzi, CCM Mahakamani? (Audio).
Good Morning mtu wangu, leo ni Alhamisi 29 October 2015, na kama ilivyo kila siku lazima tuanze na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM, jukumu langu ni kuzisogeza kwako zile zote kubwa…