Game ya Navy Kenzo imefikia viwango vya SmashHit Trace TV….
Video ya Game ya kundi la Navy Kenzo waliyomshirikisha Vanessa Mdee baada ya kupitishwa kuchezwa kwenye kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa, bado imeendelea kufanya vizuri mpaka…
Milango ya Cinema iko wazi leo Dar es salaam, movie zinazoonyeshwa nimekuwekea hapa na Trailer
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu. Location ni Mlimani…
Maamuzi ya mwisho kutoka Mahakama Kuu Dar kuhusu watu kukaa Mita 200 siku ya Kupiga Kura
Tukiwa bado tuko kwenye headlines za Uchaguzi 2015 stori iliyochukua kasi katika vyombo vya habari pamoja na mitandao ni kuhusiana na wananchi kusimama mita 200 pale wanapomaliza kupiga kura siku…
Hii ndio sababu iliofanya David Beckham, Ronaldinho, Ferdinand, Giggs, na mastaa wengine kurudi dimbani November 14…
Mastaa wa soka wa zamani watarudi dimbani kucheza katika mechi ya pamoja November 14 2015 katika dimba la Old Trafford. Miongoni mastaa wa zamani wa soka watakokuwepo katika kikosi cha…
Daniel Sturridge atacheza katika mechi dhidi ya Southampton? haya ndio majibu ya Jurgen Klopp
Kocha wa klabu ya Liverpool ya Uingereza Jurgen Klopp ambaye amejiunga na Liverpool wiki kadhaa zilizopita kukifundisha kikosi hicho cha Anfield amethibitisha maendeleo ya hali ya Daniel Sturridge kuhusu tatizo la goti…
Video ya Dereva wa basi abiria alivyopoteza fahamu katikati ya safari.. (Video)
Mara nyingi wasafiri huwa wanakuwa na imani yote kwa Dereva, wakati safari inaendelea unaweza kukuta abiria wanasinzia, wengine wako busy wanapiga story.. wengine wanachat, ni kwa sababu wana imani kwamba…
Baada ya watu kuzungumzia tabia ya utovu wa nidhamu ya Diego Costa, hii ndio kauli yake…
Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa ambaye amekuwa akiingia katika headlines kutokana na baadhi ya matukio yake anayoyafanya uwanjani, October 23 ameingia katika headlines tena baada ya kusema kuwa hawezi…
Utapenda kuiona hii mpya ya Ty Dolla Sign feat. Babyface; “Solid” – (Video)!
Wakati tukiwa tunaendelea kusubiri uzinduzi wa Album mpya ya Ty Dolla Sign 'Free TC' inayotegemea kuwa sokoni tarehe 13 November 2015, rapper huyo ameona aisogeze kwetu nyingine mpya kutoka kwake...…
Unaikumbuka album ya kwanza ya Fid Q? Mengine ya Max kwa Young Dee? Mtu Chee je? (+Audio 255)
Najua tunamfahamu Rapper Fid Q mkali anayewakilisha Rock City Mwanza TZ, anajilaumu kutoa Album yake ya kwanza kwa tape na sio copy za CD? Fid amesema wakati anaachia Album ya…
Mpya kutoka kwa Justin Bieber imekupita? ‘Sorry (Dance Video)’ imenifikia! – (Video).
Baada ya kuweka headlines na single yake ya 'What Do You Mean' Justin Bieber ameamua kurudi kuzikamta chati na single nyingine mpya kutoka kwenye Album yake, Purpose inayotegemea kuwa sokoni…