Gari ya H Baba kakutwa nayo mtu mwingine, imeuzwa au Mkataba umeisha? U Heard (+Audio)
Soudy Brown aka Gossip Cop bado anaendelea kuzinasa story nyingine mtaani, leo October 19 2015 iliyomfikia inahusu gari ambalo aliwahi kuonekana nalo H Baba, Soudy kalikuta gari kwa mtu mwingine, limenyang'anywa…
Shabiki kwa Barakah Da’ Prince aliyezimia? Mrithi wa Young Killer? BoB na Micharazo kushika Afrika?
Crew ya BoB Micharazo wameridhika na mafanikio ambayo yameonekana kwenye Midundo kadhaa ambayo wamefanya mpaka sasa, lakini unajua mipango yao inayofuatia? 'Nyimbo inayofuatia itakuwa na muonekano wa Kimataifa' >>> hiyo…
Mtandao unaosambaza mkanda wa Lil Wayne matatani, Wanasheria kuchukua hatua!
Wiki kadhaa zilizopita tulisikia kuwa kuna mtu anashikilia mkanda wa utupu wa Lil Wayne na amekusudia kuusambaza kwenye blogs na websites mbalimbali zinazopokea mikanda hiyo, wanasheria wa Lil Wayne wakasema…
Kilichonifikia kutoka Kenya kuhusu Helikopta aliyopata nayo ajali Marehemu Filikunjombe.
Bado Tanzania iko kwenye majonzi siku moja baada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Ludewa, Deo Haule Filikunjombe, Rubani Captein William Silaa na watu wengine wawili Egid Nkwera pamoja na Cassablanca Haule…
Single mpya ya Justin Bieber na Selena Gomez imekupita? Isikilize ‘Strong’ hapa! – (Audio)
Kila baada ya wiki mbili, Drake anazindua kazi mpya za wasanii mbalimbali kupitia radio yake ya OVO Sound Radio kupita Beats 1 ya Dr. Dre... kwenye episode mpya ya radio…
Ni Dereva Tax alafu unagundua abiria wako muuza dawa za kulevya… ungefanya kama huyu?
Biashara ya Dawa za Kulevya inapigwa vita sana lakini ni uzalendo na ujasiri wa aina yake sana kujitolea kumkamata muuzaji wa dawa za kulevya mpaka unahakikisha anafika katika mikono ya Polisi. Tumeona…
T.I alisema hawezi kumchagua mwanamke kuwa Rais wa Marekani, Kanye West na Jay Z je?
Baada ya kutangaza nia yake ya kugombea Urais wa Marekani kufikia mwaka 2020, Kanye West amekuwa akiweka headlines nyingi zinazohusiana na viongozi wa Siasa. Licha ya rapper T.I kuonyesha wazi…
Utapenda kuiona video mpya ya Wiz Khalifa ‘Most of Us’ – (Video)!
Mara baada ya kuzindua European tour, yake na ASAP Rocky, Wiz Khafila ameamua aisogeze kwetu video yake mpya kabisa "Most of Us". Wiz Khalifa ambaye pia ni kiongozi wa Taylor…
Wagombea Urais na mdahalo?, Lowassa Mbeya, Magufuli? Mazishi ya Filikunjombe.. Stori + Audio
Good Morning, uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM umekupita? ninazo zote kubwa kubwa za leo kwenye kurasa za magazeti, kama zilikupita unaweza ukacheki na hizi. Dk. John Magufuli aendelea kuitikisa Mwanza,…
Magazeti ya Tanzania leo October 19, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Octoba 1,9 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…