Haruna Niyonzima kafunga ndoa Rwanda, uthibitisho kwenye picha sita…
Kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima October 15 amefunga ndoa na mzazi mwenzake. Haruna Niyonzima ambaye alifunga ndoa hiyo baada…
Ndoa ina miaka 10, kumbe Nameless na Wahu waliwahi kuchokana? Kilichofuatia je?
Ni raha kuwa na Familia, mtu na mke wake wote mnafanya kazi Industry moja halafu wote mnafanya poa na watu wanakubali kazi zenu.. hiyo ni raha sana kiukweli !! Pata…
Utapenda kuujua mtazamo wa Young Jeezy kuhusu Siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani!
Upepo na muamko wa kisiasa haupo nchini Tanzania tu, bali hata kwa wenzetu wa Marekani hali za kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2016 zimepamba moto huku kila mtu akizinadi ubora…
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania October 17 na 18
Baada ya mapumziko ya Ligi mbalimbali duniani ili kupisha mechi za kalenda ya FIFA kumalizika, weekend hii Ligi Kuu mbalimbali zinaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, huenda…
Young Dee na Management yake ikoje? ‘Ligi Ndogo’ Remix ipo !! Video ya ‘Shem Lake’? #255(Audio)
Young Dee na Management yake kuna tatizo? Max ambaye alikuwa akimsimamia Young Dee ni kama mambo hayajaenda sawa kati yao, lakini 255 imewacheki wote wawili… hakuna aliyekuwa tayari kuelezea nini…
Mbunge Deo Filikunjombe na baba yake Jerry Silaa wamefariki kwa ajali ya Helikopta.. #RIP
Kumekuwa na mvutano wa taarifa zinazoripotiwa kuhusu ajali ya Helikopta iliyotokea jioni ya October 15 2015 katika Msitu wa Mbuga ya Selous, pembeni ya Mto Ruaha. Jerry Silaa amepost Ujumbe…
Kundi la Beyonce, Kelly na Michelle; ‘Destiny’s Child’ kurudi na Album mpya, Tour je?!
Imepita miaka 11 toka kundi la Destiny’s Child, linaloundwa na Beyonce Knowles, Kelly Rowland na Michelle Williams liachie album yao ya mwisho mwaka 2004 iliyopewa jina 'Destiny Fulfilled'... leo ni…
Baada ya miaka miwili Anthony Martial karudisha heshima hii Man United…..
Klabu ya Manchester United ya Uingereza kwa miaka miwili sasa ilikuwa haijawahi kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi. Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kwa sasa imechukuliwa na Anthony…
Mgombea Urais kupitia CHAUMMA kayazungumza kuhusu idadi ya Wabunge wao, madiwani… (Audio)
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 nakusogezea hii stori kutoka kwa mgombea Urais kupitia chama cha Ukombozi wa Umma, Hasheem Rungwe. Ripota wa millardayo.com alipata nafasi ya kupiga stori…
Kama asingekuwa msanii wa HipHop, unajua Drake angekuwa nani leo?
Rapper kutoka lebo ya Cash Money Records, Drake ni msanii wa vipaji vingi sana... kwanza ana uwezo wa kuimba na kurap kwa wakati mmoja, lakini kitu kingine kuhusu yeye ambacho…