Jokate studio kwa Millard Ayo… maswali aliyoyajibu na kuhusu Miss Tanzania!
Jokate, mrembo kutoka Tanzania ambaye kwa sasa ameingia kwenye headlines mapenzini na mwimbaji wa bongo fleva Ali Kiba alipita kwenye studio za Millard Ayo na kueleza mapya ya shindano la…
Kwani Ronaldo anastaafu lini soka? nimelipata jibu leo..
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo October 14 ameingia kwenye headlines kwa mara nyingine tena ikiwa ni siku moja imepita toka…
Full video ya fainali ya BSS 2015 ! Watoto wa Tanzania na vipaji vyao…
Kutana na show ya Bongo star search ambayo toka kitambo imejulikana kwa kuvifichua vipaji vya muziki vya watoto wa Kitanzania, ni Bongo Star search ambayo ilirudi tena mwaka huu na…
Ninayo taarifa kuhusu ugonjwa wa kipindupindu Sengerema Mwanza….
Ni headline baada ya headlines kuhusu ugonjwa wa kipindupindu taarifa iliyonifikia ni kwamba sasa hivi upo mkoani Mwanza jimbo la Buchosa wilaya ya Sengerema. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mkuu…
Kwanini Danny Mrwanda hajasaini na club kubwa alafu akaenda Iringa?
Kama ulikua hujui, mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Dar es salaam Young African Danny Mrwanda kwa sasa yupo katika klabu ya Lipuli FC ya Iringa inayoshiriki Ligi daraja la…
Pichaz 22 Namna ambavyo Mwenge ulivyozimwa leo October 14.
October 14,1999 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliiaga dunia ambapo hii leo Watanzania wote wanaungana pamoja wakitafakari miaka 16 iliyopita na maendeleo tuliyonayo hivi sasa Kwa kutambua umuhimu…
Kuanzia sasa hivi, wakali wa Arsenal ni mwendo wa suti tu wanapoingia uwanjani..!!
Klabu ya Arsenal ya Uingereza ambayo inafundishwa na kocha raia wa Ufaransa Arsene Wenger, October 14 wachezaji wa timu hiyo wameingia kwenye headlines za mitandao ya kijamii baada ya kuonekana wamevaa…
Haya ni maamuzi ya Man United ambayo yalimkera Patrice Evra …
Beki wa kimataifa wa Ufaransa Patrice Evra ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Manchester United ya Uingereza kwa kipindi cha miaka nane, October 14 amezungumzia uamuzi wa Man United kumuacha aondoke timu hiyo na…
Umewahi kuyaona Mashindano ya Wanaume kubeba wake zao?? Cheki kwenye Video yake..
Ukiambiwa kuna aina nyingi ya Mashindano Duniani basi ujue kwamba yako ya aina nyingine ambayo wewe hujawahi kuyasikia wala kuyashuhudia, hii ya wanaume kubeba wake zao je? Iko hivyo mtu…
T.I ana mtazamo gani kuhusu mgombea Urais wa Marekani, Hillary Clinton?
CEO kutoka kwenye lebo ya Hustle Gang T.I ameingia kwenye headlines baada interview yake na Dj Whoo Kid kwenye moja ya radio nchini Marekani... akiwa kwenye interview hiyo T.I alizungumzia…