Full Time ya Taifa Stars vs Malawi October 7 2015 (+Pichaz)
October 7 ni siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilishuka dimbani kucheza mechi ya hatua za awali za kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2018.…
Ikitokea Jose Mourinho kafukuzwa Chelsea, hiki ndio kiwango cha pesa atakacholipwa…
Mabingwa wa ligi kuu England Chelsea imepata matokeo mabaya mfululizo na kusababisha kuwa na sintofahamu juu ya kibarua cha kocha wao Jose Mourinho. Pamoja na mmiliki wa klabu hiyo Roman…
Umewahi kufikiria itakuja kutokea Lexus ya mabox? Tayari imekamilika, hii hapa… +Pichaz & Video
Ni raha wakati mwingine kujua kwamba ukifikiri nje ya box na kufanya ubunifu mzuri hata Dunia inakutambua !! Lexus ni gari ya kifahari sana, lakini ni gari ambazo zinafahamika pia...…
Mwili wa Mchungaji Christopher Mtikila tayari umeagwa Dar, safari imeanza kwa ajili ya Mazishi.. #RIP (Picha)
RIP Mchungaji Christopher Mtikila… Asubuhi ya Octoba 04 2015 taarifa ya Majonzi ilitufikia ambapo taarifa yenyewe ilikuwa inahusu msiba wa aliyekuwa Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha DP,…
Mpenzi wa zamani wa Mose Iyobo leo kapiga stori na Soudy Brown, Alichokisema?…#Uheard Audio
Soudy Brown leo kapiga stori na Mwengi ambaye alikua mpenzi wa zamani wa Mose Iyobo na mama wa mtoto wake..kafunguka na kusema kwa sasa anaishi maisha ya furaha na tayari…
Tour ya Jokate, Maneno ya Shetta kwa Rais ajaye, asichokisahau Harmonize…#255 Audio
Jokate na team yake ya kidoti wanafanya tour katika shule mbalimbali za Sekondari Dar es salaam..kupitia 255 Jokate amesema lengo la ziara hiyo ni kuwahamasisha wanafunzi wawe na utambuzi zaidi…
Jiji la Kisasa linajengwa Marekani lakini hatoruhusiwa mtu yoyote kuishi.. (Pichaz &Video)
Katika Jiji la New Mexico Marekani, sehemu kubwa sana ya eneo la Jiji hilo ni Jangwa na Milima mikubwa… ni eneo kame kabisa ambalo sio rahisi mtu akavutiwa kuishi. Wataalam…
Muendelezo wa hekaheka ya jana, kilichoamuliwa baada ya kikao kiko hapa…Audio
Leo ni mwendeleo wa hekaheka ya jana ambayo ilihusu jirani mmoja huko Kivule, Dar es salaam kudaiwa kuwanyanyasa majirani wenzake hadi kuwafikisha kituo cha Polisi. Jana kulikuwa na kikao cha…
Kanye West haishiwi vioja! Haya ni mengine kutoka kwake…+ (Video).
CEO wa lebo ya G.O.O.D Music Kanye West hivi karibuni alifanya interview na SHOWstudio, interview ambayo iligusia mada nyingi ikiwemo, ubaguzi wa rangi Marekani, ubunifu wake wa mitindo na mavazi pamoja…
Mastaa wa tennis duniani nao wanamiliki hii mijengo ya kifahari…Pichaz
Mchezo Tennis ni miongoni mwa michezo inayopendwa sana hasa kwa nchi zilizoendelea ukiachana na mpira wa miguu.. Kuna mastaa wengi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupitia mchezo huo ambapo mbali ya…