Vanessa Mdee ana haya majibu kwenye sentensi tano kuhusu ujio wa mdundo wake mpya #NeverEver!
Ni hits baada ya hits mtu wangu... msanii wa muziki wa Bongo Flava Vanessa Mdee anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani jumatatu hii, baada ya kuachia hit single yake 'Nobody…
Unapenda kuogelea? Karibu kwenye hii Swimming Pool inayoelea juujuu… (+Pichaz & Video)
Hii ni katikati ya Jiji la London Uingereza... Kama wewe ni mpenzi wa kuogelea au kwenda zako swimming na watu wako, unaweza kucheki na hii swimming pool iliyokaa kwenye muundo…
Umeipata mpya ya Sam Smith? ‘Writing on the wall’ imenifikia! – (Video).
Baada ya kushinda tuzo zaidi ya tano za Grammy na zaidi ya tuzo mbili za Billboard mwaka huu milango imezidi kufunguka kwa msanii wa Pop kutoka Uingereza Sam Smith... Adele…
Ushindi wa Goli 5-2 ukakamilishwa na jamaa kumvalisha pete Mchumba wake hapohapo Uwanjani… (+Video)
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria Super Eagles, John Ogu ameteka hisia za mashabiki wake baada ya kuamua kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Adaolisa. Ogu anayecheza…
Magufuli Manyara, Lowassa na posho, ACT Wazalendo na upinzani?, Pinda na Magufuli?
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? zipo nyingi zilizoshika headlines kwenye kurasa za magazeti 05 October, kama zilikupita unaweza ukacheki na hizi pia. Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha DP Mchungaji Christopher…
Tarehe ya ujio wa album mpya ya Davido imenifikia mtu wangu!
Boss wa lebo ya HKN Music Davido kutoka Nigeria anazidi kuionyesha dunia uwezo wake, baada ya kushindwa kutoa album yake mpya September mwaka hu, mwenyekiti wa lebo hiyo ambaye pia…
Mabeste anaikaribisha kwako Video yake mpya ya ‘Usiwe Bubu’ ndani yupo mpenzi wake…
Rapper Mabeste amekamilisha ujio wa Video yake mpya ya 'Usiwe Bubu' na safari hii ameamua kufanya na mpenzi wake wa siku nyingi Lisa. Video imesimamiwa na AJ Records. Nakukaribisha hapa kuitazama…
Uingereza imekuja na Sheria kudhibiti matumizi ya mifuko ya Plastiki, utaratibu mpya ni huu..!! (+Video)
Mara nyingi Wataalam wa masuala ya Mazingira wamekuwa wakisisitiza kuhusu watu kutambua athari zinazotokana na mifuko ya Plastiki, na hii ishu iliwahi kujadiliwa Bungeni, Wabunge wamesikika wakilalamikia udhibiti wa Mifuko…
Mayweather, Justin Bieber wakiyafurahia maisha yao ufukweni..(Pichaz&Video)
Kila wakati bondia Floyd Mayweather humkosi kwenye headlines zinazohusu maisha yake ndani na nje ya kipaji chake...mara kwa mara amekuwa akizungumziwa kutokana na utajiri alionao huku akiwa na matumizi yaliyopitiliza…
Taarifa iliyonifikia kuhusu kocha wa Liverpool Brendan Rodgers…
Liverpool imekuwa na wakati mgumu kufuatia kupata matokeo mabaya tangu kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya England. Taarifa iliyonifikia kutoka ndani ya uongozi wa klabu hiyo zinasema kocha…