Uamuzi wa Tanzania bara kuhusu michuano ya Challenge itakayofanyika Ethiopia November 2015
Michuano ya timu za taifa za Ukanda wa Afrika Mashariki Kati (CECAFA) ambayo wengi tumeizoea kwa jina la michuano ya Challenge inatarajia kuanza kufanyika November 21 hadi December 6 2015…
Mabadiliko ndani ya Real Madrid.
Vitu vingi sana vimebadilika kwenye kikosi cha Real Madrid tangu kilipoanza kunolewa na kocha Rafa Benitez ambaye alichukua rasmi mikoba ya Mtaliano Carlo Ancelotti ambaye alifukuzwa baada ya msimu uliopita…
Mambo 7 kutoka TANESCO, kuhusu mgao Mbeya, Dsm, Dom na Mwanza na bomba la gesi.
Umeme umekua ukikatika na kukaa kwa zaidi ya saa kumi na mbili kwenye maeneo mbalimbali Tanzania ikiwemo Dar es salaam, sasa yote hii majibu yake yametolewa na Mkurugenzi wa TANESCO…
Ngoma mpya ya Roma vipi? Shetta kanogewa na collabo za nje? mipango ya Navy Kenzo..#255
Leo kwenye stori za 255 Roma Mkatoliki amefunguka kuhusu utata wa ngoma yake mpya ya 'Viva Roma' kudaiwa kufungiwa..amesema huo ni uzushi na hakuna ukweli wowote, amesema tangu aachie wimbo…
Rooney hana magoli ya kutosha, Kocha ana lolote? Mpango wake ni huu kwa Rooney..
Kocha wa timu ya taifa ya England, Roy Hodgson amemwambia nahodha wa Timu hiyo Wayne Rooney kuwa hatasita kumuacha kwenye kikosi hicho endapo ataendelea kucheza chini ya kiwango. Kauli hii…
Misukosuko ya ndoa iliwafanya waachane mara mbili..Kilichofuata Je?…#Hekaheka Audio
Hekaheka leo inazungumzia ndoa ya mwanamuziki wa Mashauzi Classic Hashim Said ambaye alitengana na mke wake Zai mara mbili lakini sasa wanaishi pamoja. Mke wake amesimulia kwenye hekaheka ya leo…
Unaambiwa sasa hivi wanafunzi wanatumia Instagram kuchagua vyuo!
Kuchagua chuo sometimes inakuwa kazi ngumu sana kwasababu unajikuta na maswali mengi sana baadhi yakiwa; je campus unayoitaka ina mazingira mazuri ya kusomea, usafiri wa kufika chuoni unapatikana, huduma za…
Uzuri mwingine wa haya majengo usikupite mtu wangu..Pichaz
Moja ya vitu ambavyo nimekuwa nikivutiwa navyo ni nyumba nzuri..na kila wakati nimekuwa nikikuletea muonekano tofauti wa nyumba. Leo tena nakusogezea tena hizi nyumba zilizonivutia kutokana na muonekano wake wa…
Ripoti kutoka Mahakama ya Rufaa Dar es Salaam kwenye Kesi ya Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona..
July 06 2015 ilisambazwa Taarifa kwenye Vyombo vya Habari kuhusu Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam kutoa hukumu ya kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja kwa Mawaziri wa zamani,…
Mambo ni moto Chelsea, hiki ndio kinachoendelea kwa Mourinho na wachezaji wake..
Baada ya kupoteza mchezo mwingine kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa ukiwa mchezo wa tano kupoteza tangu msimu huu uanze, hali imezidi kuwa mbaya ndani ya klabu ya Chelsea kufuatia…