Rooney hana magoli ya kutosha, Kocha ana lolote? Mpango wake ni huu kwa Rooney..
Kocha wa timu ya taifa ya England, Roy Hodgson amemwambia nahodha wa Timu hiyo Wayne Rooney kuwa hatasita kumuacha kwenye kikosi hicho endapo ataendelea kucheza chini ya kiwango. Kauli hii…
Misukosuko ya ndoa iliwafanya waachane mara mbili..Kilichofuata Je?…#Hekaheka Audio
Hekaheka leo inazungumzia ndoa ya mwanamuziki wa Mashauzi Classic Hashim Said ambaye alitengana na mke wake Zai mara mbili lakini sasa wanaishi pamoja. Mke wake amesimulia kwenye hekaheka ya leo…
Unaambiwa sasa hivi wanafunzi wanatumia Instagram kuchagua vyuo!
Kuchagua chuo sometimes inakuwa kazi ngumu sana kwasababu unajikuta na maswali mengi sana baadhi yakiwa; je campus unayoitaka ina mazingira mazuri ya kusomea, usafiri wa kufika chuoni unapatikana, huduma za…
Uzuri mwingine wa haya majengo usikupite mtu wangu..Pichaz
Moja ya vitu ambavyo nimekuwa nikivutiwa navyo ni nyumba nzuri..na kila wakati nimekuwa nikikuletea muonekano tofauti wa nyumba. Leo tena nakusogezea tena hizi nyumba zilizonivutia kutokana na muonekano wake wa…
Ripoti kutoka Mahakama ya Rufaa Dar es Salaam kwenye Kesi ya Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona..
July 06 2015 ilisambazwa Taarifa kwenye Vyombo vya Habari kuhusu Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam kutoa hukumu ya kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja kwa Mawaziri wa zamani,…
Mambo ni moto Chelsea, hiki ndio kinachoendelea kwa Mourinho na wachezaji wake..
Baada ya kupoteza mchezo mwingine kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa ukiwa mchezo wa tano kupoteza tangu msimu huu uanze, hali imezidi kuwa mbaya ndani ya klabu ya Chelsea kufuatia…
Matokeo yalikufikia lakini hukuona magoli ya Mtibwa 0 – 2 Yanga, ninayo kwenye hii video
Ni mechi ambayo ilichezwa September 30 2015 Morogoro ambapo ushindi ulikuwa wa Yanga kuifunga Mtibwa 2 - 0, inawezekana matokeo uliyapata lakini magoli hukuyaona, hii video hapa chini itakuonyesha. https://www.youtube.com/watch?v=1mFUc-DaiBA Unataka…
Jhene Aiko amerudi na hii mpya mtu wangu; ‘Lyin King’ – (Video).
Unamkumbuka Jhene Aiko? miongoni wa mastaa kutoka Marekani walioungana na Ne-Yo kwenda kutoa burudani kwenye tuzo za MTV MAMA 2015 South Africa... yes Jhene Aiko amerudi tena kuziandika headlines kwenye…
Mauaji mengine ya wanafunzi wakiwa chuoni Marekani, maneno ya Obama pia yapo hapa..(Pichaz&Video)
Marekani imekuwa ikiingia kwenye headlines mara kwa mara kuhusiana na matukio ya watu kupigwa risasi..Headlines zimerudi tena huko, ni kuhusu kijana mmoja kuvamia chuo cha Umpgua community na kuua wanafunzi…
Lowassa aiteka Dar.. NACTE & Uchaguzi, Ndege JWTZ, NEC na waandishi wa habari vituo vya kupiga kura? (Audio).
Asubuhi huwa ni time ya kuchambua stori kubwa zilizokamata kurasa za magazeti kwenye #PowerBreakfast @CloudsFM, ninazo zote zilizosikika leo baadhi zikiwa... Edward Lowassa ataja mambo 13 ya kwanza atakayofanya kwa siku 100 akipata…