Unayajua majengo yaliyoweka rekodi kwa urefu zaidi duniani? Nimekusogezea hapa…
Dubai, Shanghai, New York City ndio miji inayoongoza kuwa na mpangilio mzuri wa majengo duniani na ndiyo inayoongoza kwa kujenga majengo marefu yaliyoweza kuingia kwenye rekodi za dunia. Ukuaji wa…
Usain Bolt kaamua kukatisha Interview baada ya kusikia wimbo wa Taifa…(Video)
Usain Bolt ameonyesha kujali zaidi wimbo wa Taifa baada ya kukatisha Interview alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa Televisheni baada ya kusikia wimbo wa Taifa wakati ukiimbwa. Huu unaweza kuwa mfano…
Trevor Noah kwenye headlines, azindua rasmi show ya The Daily Show Marekani akiwa na staa huyu..!
Mchekeshaji kutoka South Africa, Trevor Noah aliweka headlines nyingi sana Africa pamoja na dunia nzima baada ya kuchaguliwa kuwa mtangazaji mpya wa kipindi cha comedy kiitwacho The Daily Show nchini…
Lowassa na Tanga, Rungwe na Ikulu, Magufuli serikali mpya + Mahujaji Tz Mecca! (Audio)
Asubuhi siku zote huanza na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM The Peoples Station, na pengine sio zote zimekufikia, unaweza ukacheki na hizi kubwa nyingine kufidia. Maelfu wakanyagana Tanga kutaka kumuona Lowassa,…
Reality show ya ‘Dance with Peter’ wa P-Square tayari Episode1 Video iko hapa…
Yes!! ile reality show ya Peter Okoye kutoka kundi la P- Square inayojulikana kama 'Dance with Peter' tayari imeanza kuonekana baada ya kuachia sehemu ya kwanza ya show hiyo. Katika…
Magazeti ya Tanzania Septemba 29, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Septemba 29, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Ratiba za mechi za ligi ya mabingwa Ulaya September 29 na 30.
Mtu wangu wa nguvu kama kawaida ripota wako wa nguvu nakusogezea karibu yako kila kitu kinachonifikia, hii ni ratiba za mechi za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumanne ya…
Cristiano Ronaldo kwenye movie? jibu ni YES !! Trailer yake imenifikia hapa…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo mwezi June mwaka 2015 aliingia katika headlines baada ya kukiri kuwa amecheza movie inayohusu maisha yake na…
Mtanzania anaelezea watu walivyofariki mbele yake Mecca, Saudi Arabia.
Ni Moja ya Habari zilizogusa Vichwa vingi vya Habari Duniani September 24 2015 imeripotiwa Taarifa kuhusu watu zaidi ya 700 kufariki kwenye Msikiti Mkuu ambao Waumini wa Dini ya Kiislamu…
Majibu ya Diamond kwa wanaosema atashuka kimuziki kisa kampeni za siasa.
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Diamond Platnumz ambaye amekuwa ni miongoni kati ya wasanii sera za wagombea katika majukwaa mbalimbali. Msanii…