Jimbo jingine limeingia kwenye Headlines leo kwa kuhalalisha Bangi Marekani !!
Iliingia kwenye Headlines TZ baada ya Mbunge Cristowaja Mtinda kuuliza swali Bungeni Dodoma May 26 2015 kuhusu Bangi kuhalalishwa kwa vile wapo wanaoitumia kama dawa na wengine chakula, jibu likatolewa na…
Mtoto ageuka bubu baada ya kung’atwa na mamba, Mbowe asema hajapoteza sifa na Utoro wakithiri bungeni…#MAGAZETINI JUNE19
MWANANCHI Hatua ya Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Augustino Ramadhani kujitosa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais imewavuruga wagombea wenzake wa urais na kuibua mjadala mzito…
Kwanini 50 Cent hakwenda kwenye pambano la Floyd Mayweather na alipewa ticket 4?
Rapper aliye kwenye orodha ya Mamilionea wa Hiphop duniani 50 Cent alikutana na Interview ya Radio ambapo moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kwa nini hakuonekana kwenye pambano la rafiki…
Hizi ni pichaz 10 za mwonekano tofauti wa Michelle Obama..
Michelle Obama first lady na mke wa Rais Barack Obama wa Marekani ni moja ya First Ladies wanaokwenda na wakati, na ameshatajwa na magazeti mengi Marekani kama mwanamke anaejua kwenda na wakati…
Sentensi 20 za Zitto Kabwe, Emanuel Makaidi, Ibrahim Lipumba na James Mbatia kwenye jukwaa moja la Mdahalo
Swali la kwanza kabisa kuulizwa kwenye Mdahalo wa Wakuu wa Vyama waliokutanishwa jana June 18 2015 Hyatt Regency Hotel DAR, lilikuwa linahusu Changamoto ambazo wao wanaziona TZ... Alikuwepo Prof. Ibrahim…
Madonna alivyomwalika Nicki Minaj kuvunja kwenye hii mpya ! (video)
Nicki Minaj kapewa mwaliko kwenye hii kolabo mpya ya Madonna ambayo imegonga kwenye Internet June 18 2015 ambapo ndani yake pia wanaonekana wengine maarufu Beyonce akiwa mmoja wao. https://www.youtube.com/watch?v=7hPMmzKs62w millardayo.com…
Jibu alilolitoa Diamond kwa shabiki aliyemkasirisha kwa kukerwa na hizi picha alizopost !
Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz yuko Afrika Kusini kwa ziara ya kimuziki ambapo mapema wiki hii alisimamia Yamoto Band kwenye video yao ya kwanza kuitengeneza kimataifa kisha tuzo za…
Nimekurekodia stori zote za magazeti zilizosikika leo Ijumaa June 19 2015 hapa. (Audio)
Stori za magazeti redioni leo zimekupita? Nimekurekodia stori zote za magazeti zilizosikika leo kupitia @Power Breakfast ya @CLOUDS.FM zikiwa na baadhi ya stori hizi kubwa. Jaji mkuu wa zamani Augustine Ramadhani azua…
Magazeti 22 ya Tanzania leo June 19 2015 kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.
Ni time nyingine ya kukupa post moja iliyosheheni magazeti ya Tanzania kwenye siku husika yakiwa na stori mbalimbali kwenye kurasa za mwanzo na mwisho, hii post hupatikana kila asubuhi kabla…
Nyimbo mbili za TZ kwenye list ya Top 10 ya Trace TV
Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa muziki…