Haya ndio majibu ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani kwenye Mdahalo kuhusu Changamoto za TZ.. (Audio & Pichaz)
June 08 2015 ilikuwa siku ambayo Historia ilianza kuandikwa TZ kwenye ishu za Siasa, ulifanyika Mdahalo wa KWANZA wa Wagombea ambao wametangaza nia Kugombea Urais TZ kupitia CCM. Kutokana na…
Baada ya kutua kutoka Marekani Ali Kiba atangazwa kuwa Balozi!
Good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba, Jacqueline Ntubaliwe , Vanessa Mdee wameamua kuungana na shiriki la kimataifa liitwalo WildAid ili kupiga vita ya ujangili…
Ni FurahiDay nyingine tena, P Diddy na Pharell Williams washirikiana kukuletea movie hii mpya “DOPE!”
CEO wa Bad Boy Entertainment na business mogul Sean "Diddy" Combs maarufu kama P Diddy ni music legend, business mastermind na fashion designer. Licha ya mafanikio haya P Diddy pia…
Ulikua mbali na Radio? stori zote 10 za AMPLIFAYA June 18, 2015 ziko hapa
Amplifaya ni dakika 120 za habari kumi za kila aina kwenye countdown ya saa moja mpaka saa tatu usiku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM 88.5 Dar es salaam…
Kunani kati ya Karruache na mchezaji mpya wa Man United? Chris Brown katajwa pia!
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Manchester United Memphis Depay, anaweza kujiingiza kwenye malumbano na muimbaji Chris Brown baada ya jana usiku kupost picha akiwa katika pozi tata na ex girlfriend…
Taarifa ya msiba wa Mtangazaji mwingine wa TBC leo June 18 2015… #RIP
May 19 2015 kulikuwa na stori ya Msiba wa Mwandishi wa Habari waTBC ambae alifariki Dodoma alikokwenda kikazi wakati Vikao vya Bunge vilipokuwa vinaendelea, leo June 18 2015 imeripotiwa taarifa…
Ishu ya Ugaidi na headlines nyingine toka Chad kuhusu vazi hili !!
Shambulio la Kigaidi limetokea Chad Jumatatu June 15 2015 katika Jiji la N'Djamena, watu 23 wakauawana wengine zaidiya 100 wakapata majeraha makubwa. Waziri Mkuu wa Chad, Kalzeube Pahimi Deubet amesema mtu aliyelipua…
Hekaheka ikapelekwa ofisini na matarumbeta kisa Mume wa mtu…#Hekaheka (Audio)
Hekaheka haipitwi na visa vya mtaani, nyingine iliyonaswa ni hii ya mwanamke aliyepelekewa matarumbeta ofisini kisa mume wa mtu! Kuna mwanamke mmoja amedai kuwa mumewe ana uhusiano na mwanamke mwingine akaamua…
Vanessa Mdee alivyoungana na Sudan, Kenya na Congo kwenye hii kolabo.
Msanii wa Sudan Kusini Emmanuel Jal ambaye pia ni mwigizaji, ameungana na baadhi ya Wasanii mastaa kutoka nchi mbalimbali akiwemo Vanessa Mdee wa Tanzania, Juliani wa Kenya na Syssi Mananga…
Full video ya TUZO ZA KILI 2015, burudani na washindi walivyotajwa !
Tuzo za KILI ni tuzo kubwa za muziki Tanzania ambazo kwa miaka sasa zimekua zikitunuku Wasanii kila mwaka kutoka kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya BongoFleva. https://www.youtube.com/watch?v=U1Ua-UYnFYo millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben…