Arturo Vidal wa Juventus kapata ajali.. pamoja na hayo kaingia kwenye matatizo!
Nyota huyu anatarajiwa kupandishwa Mahakamani hivi karibuni kujibu mashtaka ya kuendesha gari akiwa ametumia kilevi na tayari amenyang'anywa leseni yake. Kiungo wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya…
Manchester City inamtaka Raheem Sterling?
Klabu ya Manchester City imetuma ofa ya paundi milioni 40 kwenda kwa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kumnunua kiungo mshambuliaji raia wa England, Raheem Sterling. Ofa hii inakuwa ya…
Ni kweli Irene Uwoya ana mimba? Msami kazungumza hapa na Soudy Brown…#Uheard (Audio)
Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya. Awali alikanusha taarifa…
Post nyingine ya Wema Sepetu… Marehemu baba yake alimsogeza kwenye siasa?
Jana June 16 2015 Miss Tanzania 2006 na mwigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu aliingia kwenye Headlines baada ya kutangaza kwamba anahitaji kuingia kwenye siasa rasmi kabisa. Post nyingine ni…
Picha na info za mastaa wa Marekani wenye Watoto wengi!
Siku hizi kumekuwa na watu na Taasisi zinazofanya harakati za kuhamasisha watu kufanya uzazi wa mpango.. wapo wanaofuata wengine hawafuati utaratibu huo kabisa. Wapo wanaoamini kwamba wazungu wako poa sana…
Christian Bella ana ndoto za kufanya collabo na nani? Wema na Ubunge je? pia Rafiki wa Ben Pol kazungumzia walivyonusurika ajalini…#255 (Audio)
255 ya leo Clouds Fm imepiga stori na mkali wa 'Nani kama Mama', Christian Bella ambaye ameelezea mastaa wa kimataifa ambao ana ndoto za kufanya nao Collabo kuwa ni Chriss…
Mwendelezo wa Hekaheka ya jana ya bibi kumshirikisha mjukuu wake kwenye ushirikina iko hapa…#Hehaheka (Audio)
Katika hekaheka ya leo ni mwendelezo wa ile ya jana ambapo ilikua ikizungumzia mtoto ambaye alikua akifuatwa na bibi yake usiku na kupelekwa sehemu isiyojulikana. Leo timu ya Hekaheka imepiga…
Mkusanyiko wa Stori 8 kubwa kutoka ndani ya Magazeti ya leo Tanzania June 17, 2015
MWANANCHI Mtu mmoja amekamatwa na polisi akiwa katika harakati za kutafuta soko la kuuza mtoto mdogo wa dada yake ambaye ana ulemavu wa ngozi mwenye umri wa miaka sita. Kaimu…
Sentensi 10 za Rais JK kuhusu mrithi wake kwenye Urais TZ 2015… (Audio)
Kuna ishu ambyo imepewa Headlines sana Magazetini toka wameanza kujitokeza Wagombea Urais wa CCM, swali jingine ni kwamba eti Rais JK ana mtu ambae anamuandaa kumrithi? Majibu yako kwenye hizi…
Stori kubwa leo >> Mazishi ya Mufti Mkuu TZ, mrithi wa JK.. anayebadili nafasi ya Mufti, CCM wataikosoa Serikali? (Audio)
Kwenye stori kubwa iko ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametaja aina ya mgombea anayetaka arithi kiti cha Urais wa TZ 2015, TAKUKURU wamepewa na China Bil. 3 ili kuimarisha utendaji wao.. Usajili…