Safari ya mwisho ya Mufti Shaaban Simba duniani… #RIP
June 15 2015 ilitufikia taarifa ya msiba wa aliyekuwa Mufti Mkuu Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba. Jana June 16 watu mbalimbali pamoja na viongozi wamekutana Shinyanga kumsindikiza Mufti huyo…
Ninazo tayari stori kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya TZ leo JUNE 17 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa millardayo.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa…
Wayne Rooney na mpenzi wake pamoja na mastaa wenzake walivyotokea kwenye Harusi ya Tom Cleverley.. (Pichaz)
Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United, Cleverley amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Dorsett katika shughuli ya kifahari iliyofanyika huko Claridge. Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi…
Wema Sepetu kathibitisha anagombea Ubunge !! kayazungumza hapa na ya boyfriend wa Linah.
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu leo June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM amefunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa…
Video ya Zari kuitwa kwenye stage ya White Party yavunja rekodi kwa views YouTube.
Ilikua ni party iliyoandaliwa na Mastaa kutoka kwenye sekta ya burudani na ikavunja rekodi ambayo haijawahi kuvunjwa Tanzania kwa kuwa na kiingilio kikubwa na bado ticket zikaisha huku party yenyewe…
Bye bye Maisha club Osterbay! picha za Location mpya inakohamia ninazo hapa.
Kila mmoja aliyesikia taarifa za kuhamishwa kwa NEW MAISHA CLUB alitamani kujua ni wapi itahamia kwa sababu party ya mwisho ilipofanyika walitangaza baada ya mwezi Mtukufu watu wote watahamia kwenye…
Yaya Toure balozi mpya wa Airtel Rising stars ! info zote ziko hapa
Na taarifa ikufikie kwamba Airtel Rising Stars imerejea tena kwenye headlines na itatambulishwa rasmi Jumatano ya 17 June 2015 Dar es Salaam ikiwa inasimamiwa na kampuni hii inayoongoza kwa ubora…
#Breaking: Mwimbaji Ben Pol anusurika kwenye ajali ya boti iliyozama.
Mwimbaji Ben Pol staa wa hit single ya 'Sophia' amenusurika kifo baada ya boti waliyokua wakisafiria na wenzake kuzimika katikati ya safari. Baada ya kunusurika na baadae kuokolewa, Ben aliandika…
Good news ni kwamba video ya ‘malele’ ya Shilole ndio hii imetoka.
Dakika zako 3 unaweza kuzitumia kutazama video hii mpya ya mwimbaji Shilole iitwayo 'Malele' iliyotayarishwa na director Khalfani, ukishaitazama usiache kuniachia comment yako mtu wangu ili Shilole akipita baadae ajue…
Nahreel mpaka Nigeria?!! hata Yemi Alade mikononi mwake??
Nahreel, member wa kundi la Navy Kenzo ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka 2015 kwenye tuzo za KILI, mikono yake kuzisuka vizuri hit…