Mazishi ya Mufti Simba, mbio za Urais 2015 zashika kasi na kila Mtanzania anadaiwa laki8…#MAGAZETINI JUNE16
NIPASHE Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, jana alichukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema hakuupata wadhifa wa…
Mengine mapya kutoka Magazetini>>> Waziri Migiro na Urais TZ, hukumu ya wauaji wa Albino.. #PB_CloudsFM
Magazeti ya leo JUNE 16 2015 yako mtaani tayari, kama hujapata nafasi ya kuona stori zake unaweza kuitia hapa kuona baadhi ya stori kubwa za leo pamoja na kusikiliza Uchambuzi…
Hivi ndivyo familia ya Kanye West ilivyosherekea birthday ya mtoto wao. >>> Pichaz.
Mwanzoni mwa mwezi huu kulikua na tetesi za chini chini kua Kanye West na mke wake Kim Kardashian walikua na mpango wa kubook Disneyland yote kwa ajili ya birthday ya…
Ninazo tayari stori kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya TZ leo JUNE 16 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa millardayo.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa…
Trace TV ya Ufaransa imesema hizi ndio video 9 bora za Hip Hop zinazotamba wiki hii….
Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video za Hip Hop zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo…
Headlines za Asha-Rose Migiro June 15 maamuzi yake mapya kuhusu urais wa Tanzania
CCM imepanga kuanzia mwezi huu hadi Julai 2 kuwa ni muda wa makada wake kuchukua na kurudisha fomu kabla ya vikao vya juu vya chama hicho kukutana kuanzia Julai 12…
Amber Rose kayasema haya kuhusu wanaume na tattoo yenye jina la Wiz Khalifa!
Kipindi cha nyuma Amber Rose na Wiz Khalifa walimake headlines kubwa kuhusu kuachana kwao na kusababisha mada za kila aina katika social networks za Twitter na Instagram. Lakini baada ya…
Sarkodie kaisambaza hii video mpya na Ace Hood , itazame hapa
Sarkodie ni rapper kutokea Ghana ambaye mwaka jana alishinda tuzo ya Headies Awards 2014 kwenye kipengele cha BEST AFRICAN ARTISTE ambacho miongoni mwa wasanii waliokuwa wakiwania tuzo hiyo alikuwepo Diamond…
May 2015 Jangwani ilikumbwa na mafuriko, huu ndio mwonekano wake leo June 15 2015..
Mvua ilinyesha mfululizo Dar, hali ya Jangwani haikuwa poa kabisa kutokana na ishu ya mafariko.. unadhani watu waliovamiwa na mafuriko wamehama? Wapo waliobaki na maisha yanaendelea kama kawaida japo mafuriko…
Kingine kiko hapa kuhusiana na afya ya Bobbi Kristina..
Matumaini ya kupona kwa Bobbi Kristina yamezidi kupotea huku familia yake ikiridhia mtoto huyo kurudishwa katika nyumba ya mama yake wakiamini wakati wowote anaweza kupoteza maisha. Hata hivyo bibi wa…