Meek Mill alisema hana beef na Future… nini kiko kichwani kwa Future?
Baada ya beef ya Meek Mill na Drake kumalizika Meek Mill alionekana kama anatafuta beef na Future... kama unakumbuka nilikusogezea stori moja ya Meek Mill wiki chache zilizopita ambapo alimtaka…
Kutana na jumba la Makumbusho juu ya Milima! Italy na rekodi zao..
Juu ya Milima ya Kronplatz iliyoko Jimbo la South Tyrol, Italy.. hii ni moja ya vivutio vya aina yake kabisa, ni ubunifu wa Mhandisi Zaha Hadid. Juu ya Kilele cha Mlima…
Goli la Mata limeingia katika list ya magoli yaliyofungwa baada ya kupigwa pasi nyingi, linashika nafasi ya ngapi?
Staili ya mchezo wa kushambulia ya klabu ya Manchester United imekuwa ikishambuliwa na wachambuzi wa michezo msimu huu lakini hakukuwa na mashaka juu ya ubora wa pasi 45 zilizopigwa kabla…
Chid Benz kwenye U Heard na Soudy Brown, yuko Chama gani? Ngoma mpya? #UHeard (Audio)
Zimebaki siku chache kushuhudia TZ ikiingia kwenye Uchaguzi Mkuu October 25 2015 ambapo baadhi ya wasanii wamejitokeza kuunga mkono Vyama mbalimbali, Chid Benz je? Chid Benz amepatikana kwenye U Heard ya Soudy Brown,…
Tyga anadaiwa Kodi? makosa ya kuvunja mkataba.. Ishu ya wizi je?
Headlines za Tyga kukwepa kulipa kodi sio kitu kipya kuhusu yeye, rapper huyo wa Cash Money Records anaonekana kutokujali sana kuhusu mashambulio hayo na wala hatua zinazoweza kuchukuliwa dhidi yake…
Jibu la Mama Diamond kuhusu sura ya mjukuu wake, udhamini wa Tiffah je?, Maneno ya Mbasha baada ya kuachiwa huru…#255
Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza siku 40 na sura yake kuonyeshwa LIVE kwa mashabiki wao..255 ikaamua kupiga stori na mama Diamond kujua anazungumzia nini kuhusu…
Mama na mtoto wake wamefariki baada ya kuumwa tumbo, ni kipindupindu? #Hekaheka (+Audio)
Kama ilivyo kawaida ya Hehaheka imekuwa ikituweka karibu na matukio ambayo yanatokea kwenye maisha ya watu ya kila siku, leo inahusu tukio la mama na mtoto wake kukutwa ndani wakiwa wamefariki…
Picha 11 nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka…
September 21 2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na…
Pichaz za utupu zilivyowafikisha mtu na mpenzi wake Mahakamani japo walijipiga wenyewe..
Sheria ya Makosa ya Mitandaoni imeanza kazi rasmi September 01 2015 Tanzania na tayari kuna stori za watu kukamatwa kwa Makosa mbalimbali kutokana na Makosa ambayo yameainishwa katika Sheria hiyo.…
Mixtape ya Future & Drake imekupita? ‘What A Time To Be Alive’ imenifikia!
Ni siku tatu tu zimepita toka Drake awape mashabiki wake news kwamba Future na yeye wanaachia Mixtape pamoja... Na tarehe 20 September Drake aliandika kwenye page yake ya Instagram muda na saa…