#UHeard…Leo Soudy Brown yuko na Bob Junior, vipi ndoa nyingine?
Leo Soudy Brown alikuwa na msanii wa Bongo Fleva, Imbella ambaye ana uhusiano na mke wa zamani wa Bob Junior, kuna story kwamba walianza uhusiano wao tangu mwezi February baada ya…
Good news ni ujio mwingine wa Bongo Star Search 2015.. (Pichaz)
Tumeishuhudia miaka nane ya mafanikio ya Bongo Star Search kuibua mastaa wa muziki Bongo.. Iliwahi kusikika Exclusive story kwenye #Amplifaya ambapo alisikika Madam Rita akiahidi kwamba msimu mwingine wa BSS unarudi on air!!…
Afande Sele na stori ya asili ya muziki TZ.. Fid Q anaitamani siasa? kuna kingine kipya kuhusu msimu mpya wa BSS…#255
Wa kwanza kusikika kwenye 255 ya leo kwenye show ya XXL @CloudsFM ni Afande Sele ambaye amezungumzia kuwa asili ya muziki wa Tanzania inatokea Morogoro na nyanda za juu ikiwemo Songea…
De Gea amfukuza Casillas Real Madrid.
Huku taarifa zikizidi kumiminika kuhusu kllabu ya Real Madrid kukaribia kumsajili kipa David De Gea wa Manchester United , taarifa nyingine zimeibuka zikimhusisha kipa namba moja wa klabu hiyo…
Bibi hataki mpangaji mwenye mtoto wala msiba nyumbani kwake…#Hehaheka (Audio)
Heka heka ya leo inatokea Shinyanga ambapo Bibi mmoja kaachiwa nyumba na marehemu mume wake, lakini masharti yake hataki mpangaji wake ajifungulie nyumbani kwake na wala hataki mtoto mchanga nyumbani…
Mengine mazuri ya kujionea kwenye hii BMW toleo jipya kabisa !! (PICHAZ)
BMW ni moja ya magari ambayo yana hadhi ya juu sana duniani... Hata bei yake pia iko juu mtu wangu. Kwa hapa Bongo mmoja ya Mastaa wanaotembelea gari aina ya…
Kamera za barabarani zikamnasa Mourinho akiwa spidi, Ishu ikafika mahakamani!!
Nchi za wenzetu sheria za barabarani zimekua zikizingatiwa sana na imesaidia kwa kiasi kikubwa kuondokana na tatizo la ajali. Kwa mfano ukipita kwenye taa wakati hazijaruhusu hata kama hakuna magari lazima…
Hii ndio studio aliyotoa zawadi Big Sean shuleni alikosoma.. (Pichaz & Video)
Msaani wa HipHop Marekani Big Sean aliwahi kutembelea shule yake ya zamani Cass Technical High School na kutoa ahadi ya kuwafanyia wanafunzi wa shule hio kitu special ikiwa tu matokeo yao ya…
Ujio mwingine wa P Square kwenye video mpya ya ‘Bring It On’– feat. Dave Scott…
P Square wameachia video yao mpya inayoitwa 'Bring It On', Ni nyimbo iliyopo kwenye albamu yao mpya ya Double Trouble. Katika video hiyo yenye vionjo vya R&B na Rock ilifanyika…
Mkusanyiko wa Stori kubwa 8 kutoka kwenye Magazeti ya leo June11, Nimekuwekea hapa mtu wangu
MWANANCHI Mfanyabiashara wa Moshi Mjini, Lenana Marealle amejikuta matatani baada ya kuwekwa mahabusi kwa saa tatu kwa amri ya jaji baada ya kuvuta sigara eneo la Mahakama Kuu Kanda ya…