Unamkumbuka Rivaldo wa FC Barcelona? Kafanyiwa upasuaji taarifa ipo hapa… (+Picha)
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania na timu ya taifa ya Brazil Rivaldo bado dunia ya soka ina mkumbuka kwa umahiri wake uwanjani lakini amewahi kutwaa tuzo…
Mtoto aliyekamatwa na saa wakidhani ni bomu harudi tena Shule? Boss wa Facebook nae kaandika haya..
Stori bado inagusa kwenye vichwa vya habari Duniani, September 16 nilikusogezea stori ya Ahmed Mohamed mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye alikamatwa Shuleni na kupelekwa Polisi baada ya kukutwa…
Hadi kufikia September 2013 hizi ni hoteli 10 zinazotajwa kuwa na muonekano usio wa kawaida (+Pichaz)
September 19 nakusogezea karibu yako muonekano usio wa kawaida wa hizi hotel zilizopo katika miji mbalimbali duniani, huenda uliwahi kutembelea nchi kadhaa lakini hukubahatika kuona uzuri na upekee wa majengo…
Baada ya zawadi ya cake, mke wa 2 Face aliandika haya siku ya birthday ya mumewe..
Huenda katika Sherehe ambazo staa wa Nigeria 2 Face Idibia amewahi kuzifanya hii ambayo ilifanyika jana September 18 2015 ilikuwa imekaa poa zaidi !! Moja ya vitu vilivyovutia ni cake…
Kitu kipya cha mkali mwenyewe Belle 9 hiki hapa mtu wangu, ‘Shauri Zao’ (Video)
Belle 9 ni staa wa Bongo Fleva, ni moja ya majina ya mastaa wachache ambao hata kama hawajatoa ngoma mpya au midundo yao haisikiki On Air, bado jina lake kwenye…
Magazeti ya Tanzania Septemba 19, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Septemba 19, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Umeme ndio basi tena Tanzania? gesi iliyosubiriwa imeanza kufanya kazi?
Good news ninayotaka kukusogezea nii kutoka Tanesco ambapo Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene September 18 2015 aliongea mbele ya Waandishi wa habari kuhusu mradi wa bomba la gesi na…
Maamuzi ya UKAWA baada ya chama pinzani kukiuka taratibu za kisheria….
Ni headlines za Uchaguzi mwaka 2015 ambapo leo Sept 18, Mwanasheria wa CHADEMA ambaye ni mkuu wa idara ya Uchaguzi kwenye sheria,Bw.John Mallya alifanya mkutano wa kuzungumza na waandishi wa…
Kauli za wasemaji wa Simba na Yanga kuhusu mechi za Ligi Kuu kuchezwa saa 9 alasiri (+Audio)
September 18 ni siku ambayo headlines za Bodi ya Ligi kutaka kubadilisha muda wa kuanza kwa mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara zilizidi kuchukua nafasi kwa kila mdau au mshabiki…
Rais wa klabu ya Real Madrid ya Hispania kafanya hili kwa wakimbizi hawa kutokea Syria (+Pichaz)
Rais wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Florentino Perez ambaye amezoeleka kuingia katika headlines kwa masuala yake ya kufanya usajili mkubwa kwa wachezaji ambao klabu yake inawahitaji, huenda umezoea kumsikia katika…