Kauli za wasemaji wa Simba na Yanga kuhusu mechi za Ligi Kuu kuchezwa saa 9 alasiri (+Audio)
September 18 ni siku ambayo headlines za Bodi ya Ligi kutaka kubadilisha muda wa kuanza kwa mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara zilizidi kuchukua nafasi kwa kila mdau au mshabiki…
Rais wa klabu ya Real Madrid ya Hispania kafanya hili kwa wakimbizi hawa kutokea Syria (+Pichaz)
Rais wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Florentino Perez ambaye amezoeleka kuingia katika headlines kwa masuala yake ya kufanya usajili mkubwa kwa wachezaji ambao klabu yake inawahitaji, huenda umezoea kumsikia katika…
Ninazo pichaz mpya za Anthony Martial wa Man United akienjoy na familia yake ndani ya jiji la Manchester
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayekipiga katika klabu ya Manchester United ya Uingereza Anthony Martial amepigwa picha na mapaparazi akishuka katika teksi akiwa pamoja na mkewe Samantha huku amembeba mtoto…
Milango ya Cinema iko wazi leo Dar es salaam, movie zinazoonyeshwa nimekuwekea hapa na Trailer
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu. Location ni Mlimani City-Cinema…
Mpya ya Willow Smith imekupita? ‘Why Don’t You Cry’ imenifikia na video yake ipo hapa tayari! (Video).
Willow Smith kwenye headlines za burudani... baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo msanii huyo mwenye miaka 14 amerudi tena na kama kawaida na burudani nyingine! Wimbo wake mpya unaitwa…
Ndoa imefungwa fastafasta Beach, mtu na mpenziwe.. waalikwa ni watu nane tu !! (+Pichaz)
Ronke na Lawson wamependana? Love yao hawakutaka masuala ya kusumbuana na ndugu masuala ya michango, vikao vya Harusi, kujaza watu Ukumbini.. wao kila kitu kimefanywa simple tu yani. Jumapili ya…
Tamar Braxton anaisambaza rasmi video ya ‘Angels & Demons’. (Video)
Familia ya Tony Braxton ina vipaji vingi mtu wangu, Tony Braxton sio mtoto pekee mwenye kipaji cha kuimba kwenye familia yao, Tamar Braxton mdogo wake Tony nae ana vocals kali…
Ubunifu mwingine wa kuvutia mtu wangu ni kwenye hii mijengo ya Hoteli Duniani… (+Pichaz)
Teknolojia ya sasa inazidi kukua siku hadi siku, wataalam wamekuwa wakibuni vitu mbalimbali duniani kwa lengo la kuleta mvuto pia, kitru kinakuwa kwenye mwonekano wa kitofauti kabisa yani. Katika pita…
Future anauleta kwako mdundo wake mpya, ‘The Percocet & Stripper Joint’ – (Video).
Wakati bado tunaendelea kusubiria mixtape ya Future na Drake, msanii wa Hip hop Marekani Future anaendelea kuzisogeza kwetu videos za nyimbo zinazopatikana kwenye album yake DS2. Video ya The Percocet…
Alienda Nepal kutoa msaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi… kilichomtokea kinasikitisha!
Dahlia Yehia alikuwa ni msichana mwenye furaha, amani na moyo wa kuwasaidia watu wenye shida lakini ndoto zake zilifupishwa baada ya safari yake ya kwenda Nepal kwenda vibaya! Miezi michache…