StoriKUBWA>> Fursa alizotengeneza Prof. Muhongo, Baraza la Mawaziri la January Makamba.. Wagombea CCM (Audio)
Magazeti ya leo June 08 2015 yako mtaani, hapa nina uchambuzi wa Headlines uliofanywa redioni. Kuna stori kwamba mabilioni ya RICHMOND yaanza kununua Urais, Kafulila nae ameendelea kuikomalia ESCROW… Muhongo…
June 08 2015.. Hizi ndio stori kubwa za #Magazeti 26 ya Tanzania leo>> Udaku,Michezo, Dini na Hardnews
Good morning mtu wa nguvu.. leo JUNE 08 2015 nimekusogezea tena hii post ya Magazeti ambapo utaona story zote zenye uzito Magazetini kuanzia Udaku, Hardnews, Dini na Michezo. Hapa ninayo Magazeti haya 26 na…
Hivi ndivyo January Makamba alivyothibitisha kugombea Urais wa Tanzania 2015 (PICHAZ & AUDIO)
June 07 2015 mmoja kati ya Viongozi ambao wameingia kwenye headlines za kutajwa kwamba na yeye anahitaji kusogelea njia ya kuingia Ikulu ya TZ kwenye Uchaguzi wa mwaka huu 2015…
Kutoka Mlimani City DAR… Pichaz za mwanzo za Mkutano wa January Makamba June 07 2015
Tayari nimesogea hapa Mlimani City Dar es Salaam... Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Tanga na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba anakuja hapa leo. Kwenye list ya…
Raha ya ushindi kwa Barcelona dhidi ya Juventus ilikua hivi…(Pichaz)
Ushindi wa jana wa Barcelona umeiwezesha kuibuka mabingwa wa Ulaya dhidi ya wapinzani wao Juventus. Mabao ya Raktic katika kipindi cha kwanza, Luis Suarez na Neymar katika kipindi cha pili…
Taji lingine kwa Serena Williams baada ya ushindi huu
Pamoja na Serena Williams kutokuwa katika hali nzuri kiafya baada ya kusumbuliwa na mafua, aliweza kufanya vizuri katika fainali za michuano ya French Open zilizomalika jana. Serena amefanikiwa kumshinda mpinzani…
Pichaz 10 za mastaa wa soka duniani wakati walipokuwa watoto..!!
Mashabiki wengi wanawafahamu mastaa wao wa soka kwa sasa lakini hawajui zamani walikuaje? Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na wengine walikuaje wakiwa watoto. Hapa nimekukusanyia picha za mastaa 15 wa soka…
MWIGULU ataja utajiri wake, Makada ruksa kushiriki midahalo na GURUMO atimuliwa kazi Ikulu…#Storikubwa MAGAZETINI JUNE07
MWANANCHI Baada ya wiki nzima ya makada wa CCM kutangaza nia na hatimaye kuchukua fomu za kugombea urais, wapinzani ndio wanaonekana kunufaika zaidi kutokana na wengi kutumia hotuba zao kuelezea…
Toyota Probox ni gari ndogo tu ya kutembelea… Unajua sehemu nyingine Kenya wanavyoitumia?? (Pichaz)
Ninae ripota wa nguvu toka 254 Kenya, stori za huko ziko karibu na mimi pia wakati wote yani. Kuna picha unaweza kuona mtu kapost kwenye mitandao ya kijamii alafu ukaona…
Mbinu nyingine iliyotumiwa na wanawake hawa kusafirisha dawa za kulevya Nigeria !!
Headlines nyingine kwenye vyombo vya habari ni ishu ya dawa za kulevya… China ni moja ya nchi ambazo kwa Sheria zao ikitokea umekamatwa na dawa za kulevya, hukumu yake ni…