China wako vizuri mtu wangu, hizi ndio bidhaa zao tano wanazoongoza kutengeneza..
Bidhaa za China zimekuwa na umaarufu mkubwa sana kwenye nchi za Afrika na Tanzania ikiwemo, lakini sababu kubwa ni kwamba ukiangalia Takwimu za mwaka 2013 na 2014 China imetajwa kuongoza…
#Instagram imehesabu na kuchagua picha 17 bora za wasanii wa Hip Hop wiki hii… Msanii wa Africa ni mmoja tu! (Pichaz)
Mitandao ya kijamii kwenye headlines... kama unahisi kuwa mtandao wa Instagram hauna muda wa kufuatilia wasanii na picha zao basi leo Instagram inakupa sababu tofauti kabisa! Wiki hii Instagram ilikuwa…
Ninayo tayari orodha kamili ya wale wote wanaowania tuzo za Annual BET Hip Hop Awards 2015!
Kila mwaka kituo kikubwa cha burudani Marekani BET huandaa tuzo za kipekee kabisa 'Annual BET Hip Hop Awards' kwa ajili ya kuwapongeza wale wote walioweza kufanya vizuri zaidi kwa mwaka…
Tukio la kujiangusha Sergio Ramos limekuwa stori katika mtandao wa twitter (+Video)
Klabu ya Real Madrid ya Hispania September 15 ilishuka dimbani kucheza mechi yake ya kwanza ya Kundi A dhidi ya klabu ya Shaktar Donetsk. Mechi iliyomalizika kwa klabu ya Real Madrid…
Rais MUGABE karudi kwenye headlines baada ya maamuzi haya kutoka kwa wapinzani…
Mwezi uliopita Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya wabunge wa vyama vya upinzani kumzomea wakati akitoa hotuba wakimshutumu kushindwa kuiongoza vyema nchi yao. Headlines zimerudi…
Kama wewe ni mtumiaji wa Facebook, tegemea kukutana na mabadiliko haya wakati wowote !!
Facebook ndio mtandao wa Kijamii ambao unatumiwa na watu wengi zaidi, Takwimu zinaonesha Duniani kuna jumla ya watu kama Bilioni 7 hivi, alafu Ripoti ya The Statistics Portal 2015 inaonesha…
Tundu Lissu na JK, Sumaye na CCM, Lowassa; ‘hawajui walitendalo’,+ kesi Sheria ya Mitandao!? (Audio)
Kwenye stori zilizoweka Vichwa vya Habari kwenye Magazeti ya leo September 16 2015 kuna hizi pia ambazo zimeguswa na Uchambuzi wa Magazeti kwenye PowerBreakfast @CloudsFM... Kama kuna stori kubwa imekupita unaweza…
Magazeti ya Tanzania Septemba 16, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Septemba 16, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Hizi ni video za magoli ya mechi za UEFA za September 15 katika mechi za hatua ya makundi
Usiku wa September 15 ni siku ambayo ilipigwa michezo kadhaa ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, michezo hiyo ilimalizika kwa vilabu kadhaa kuibuka na ushindi hivyo ni…
Matokeo ya mechi ya kwanza ya Man United ulaya msimu huu haya hapa
Baada ya kukosa michuano ya ulaya kwa msimu uliopita, hatimaye usiku wa leo Manchester United imerejea rasmi katika michuano hii mikubwa barani humo kwa ngazi ya vilabu. Vijana wa…