Saa kadhaa kabla ya dirisha la usajili kufungwa Southampton yaweka kikao na Mkenya huyu…
Klabu ya Southampton ya Uingereza bado inahangaika namna ya kumzuia kiungo wa kimataifa wa Kenya anayeichezea klabu hiyo Victor Wanyama asiihame Southampton, kupitia mtandao maarufu wa habari za michezo wa…
Usajili wa De Gea na Navas waelekea kukamilika usiku huu
Siku ya mwisho ya usajili barani ulaya inazidi kunoga, inaripotiwa kwamba vilabu vya Manchester United vimefikia makubaliano juu ya biashara ya wachezaji David De Gea na Kylor Navas. Baada ya…
Liverpool yamsajili mshambuliaji huyu kutokea Nigeria……….
Klabu ya Liverpool ya Uingereza haiko nyuma na yenyewe kumalizia masaa ya usajili yaliosalia vizuri, kila klabu ina angaika ili iweze kusajili mchezaji iliyekuwa inamtaka kwa muda mrefu au inasajili…
Baada ya Januzaj, Chicharito nae aondoka Man Utd
Kocha Louis van Gaal ameendelea kusafisha timu kwa kuuza wachezaji au kuwatoa kwa mkopo. Baada ya mchana wa leo kumtoa kwa mkopo Januzaj, jioni hii klabu ya Manchester United imemuuza…
Adnan Januzaj ameondoka rasmi Manchester United
Masaa kadhaa kabla ya dirisha la usajili kufungwa barani ulaya, klabu ya Manchester United imeendelea kufanya biashara katika siku ya mwisho. Baada ya jana kumpeleka kwa mkopo Tyler Blackett…
Justin Bieber karudi na hii mpya ‘What Do You Mean?’ (video)
Justin Bieber aliweka headlines usiku wa tuzo za MTV VMA's baada ya kuperform single yake mpya 'What Do You Mean?' ikiwa ni mara ya kwanza kwake kuperform kwenye tuzo hizo…
Mtoto wa Wayne Rooney alivyokutana na Neymar, Messi, Suarez na Pique Hispania (Picha)
Mtoto wa mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Manchester United Kai Rooney alionekana mwenye furaha, katika mapumziko ya mwisho wa wiki na mama yake mzazi Coolen Rooney wakiwa Hispania kwani alipata bahati ya…
Nimekusogezea Pichaz za watoto wa mastaaa wenye ushawishi zaidi..Pichaz
Kuna watoto wengi wa mastaa ambao wamekua na ushawishi mkubwa ndani ya jamii zinazowazunguka, mbali ya kupata mikata minono ya kutangaza bidhaa mbalimbali pia wamekuwa wakizungumziwa hasa katika mitandao ya…
Tuzo za MTV Video Music Awards (VMA) 2015 ndio zilikuwa za mwisho!? Ukweli huu hapa…
Tukio la MTV Video Music Awards limekuwa likichukua headlines kwenye vitu tofauti, headlines zake bado ziko nyingi zinazosambaa kwenye mitandao. Licha ya watu wengi kuchukua tuzo na kupendeza kwenye usiku…
Masaa kadhaa kabla ya kufungwa kwa usajili hawa ndio wachezaji waliowahi kusajiliwa dakika za mwisho…
Tukiwa tunaelekea kufungwa kwa dirisha la usajili wa Ligi Kuu Uingereza, nimeona nikukumbushe wachezaji watano waliowahi kusajiliwa kwa fedha nyingi saa chache kabla ya dirisha la usajili halijafungwa. Mesut Ozil…