Magazeti 21 ya Tanzania August 27 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Agosti 27,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Man United Vs Club Brugge matokeo ni haya (Picha&Video)
Klabu ya Manchester United August 26 imeshuka dimbani kucheza mechi yake ya marudiano na Club Brugge ya Ubelgiji, mchezo huo ambao Club Brugge imecheza nyumbani lakini imepokea kichapo cha goli 4-0. Magoli…
Ni kweli Vietnam wanakula nyoka? Majabvi wa klabu ya Simba ana majibu hapa (+Audio)
Kiungo mpya wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu ya Simba Justice Majabvi ambaye amewahi kucheza soka barani Ulaya na Asia katika nchi ya Vietnam kabla ya kutua Simba mchezaji huyo ana uzoefu…
Umeikosa #Countdown ya stori za #Amplifaya leo Agosti 26 2015, zote nimekusogezea hapa..
Kama utaweza kuwasha radio yako na kujiunga na CloudsFM kila Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku utakutana na mtu wako wa nguvu Millard Ayo ambaye kazi yake ni kuzikusanya…
Matokeo ya Majimaji FC Vs The Might Elephant FC yapo hapa (Audio&Picha)
Klabu ya soka ya Majimaji FC ya Ruvuma Songea bado inazidi kujiandaa kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Septemba 12 kwa michezo kadhaa kuchezwa. Majimaji FC inayofundishwa na…
Ni zamu ya Nay wa Mitego kaonesha kumsupport Mgombea wa Urais 2015…
Mwaka huu ni headlines za Uchaguzi 2015 tumeona baadhi ya wasanii wameonesha kutoa support kwenye kipindi hiki kwa wagombea Urais wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea CCM na Edward…
Huu ni mpira maalum utakaotumika katika michuano ya klabu Bingwa Ulaya 2015/2016 (Pichaz)
Kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Uingereza na Ligi Kuu Hispania mashirikisho ya soka ya nchi husika huwa wanatangaza aina ya mpira utakaotumika katika msimu husika, tayari tumeshaona mpira unaotumika…
Zisikupite hizi Pichaz 15 za Ndege za Kifahari zaidi duniani mtu wangu…
Moja ya safari zinazokufanya uwe huru zaidi ni pamoja na usafiri wa ndege. Zipo ndege za aina mbalimbali na gharama zake hutegemea na umbali wa safari ya mtu..lakini pia watalam…
Haya ni masharti aliyopewa Mario Balotelli na klabu ya AC Milan
August 25 ni siku ambayo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli ambaye alikuwa akiichezea Liverpool ya Uingereza athibitishwe kujiunga na klabu ya AC Milan ya Italia kwa mkopo wa muda…
Magufuli kwenye kampeni mikoani….
Wakati Ukawa wakiwa wamezuiliwa kutumia uwanja wa Jangwani uliopo Dar es Salaam kwenye shughuli za kampeni uchaguzi 2015, sasa hapa nina picha ambazo zikimuonesha mgombea wa Urais kupitia chama cha…