Rasmi Juventus wamsajili nyota huyu kutokea Chelsea
Klabu ya Juventus ya Italia bado inaongeza nguvu katika kikosi chake kwa kusajili wachezaji kadhaa ili kuweza kuendana na kasi ya michuano mbalimbali itakayoshiriki msimu huu. Juventus ambayo imeondokewa na…
Mchezaji wa Ligi Kuu Uingereza mbaroni kwa kosa hili
Asilimia kubwa ya sheria za kila nchi duniani huwa haziruhusu mtu kumtishia silaha au kumwambia maneno ambayo yatatafsirika kama kumtishia amani ya kumuua ni kosa kisheria hata kama umeongea kauli…
Young Killer kazungumzia deni analodaiwa na Edo Boy, issue ya mahakamani je? ..#Uheard (Audio)
Young Killer na Edo Boy jana walisikika kwenye Uheard kuhusu kuwa na beef hadi kupelekena polisi kisa deni, lakini Edo Boy hakutaka kuweka wazi mambo hayo lakini Soudy Brown hakuridhika…
Keisha hajakata tamaa na siasa? Ray C na vurugu hospitali ya M’nyala, Young D na maana ya tattoo zake…255 (Audio)
Kwenye zile stori zilizosikika kupitia 255 ya XXL, amesikika pia Keisha ambaye amezungumzia siasa na kusema zina changamoto kubwa sana ingawa anaipenda sana toka siku nyingi..anasema si kitu rahisi na…
Pichaz za Balotelli akiwasili AC Milan kufanya vipimo vya afya
Mshambuliaji mtukutu ambaye amewahi kuvichezea vilabu kadhaa Mario Balotelli ameondoka Liverpool na kurejea katika klabu yake ya zamani ya AC Milan, Balotelli anarudi AC Milan ikiwa ni msimu mmoja umepita toka ajiunge…
Picha zilizonifikia kuhusu ajali ya Daladala leo Dar es salaam…
Moja ya matukio yaliyonifikia August 25 ni pamoja na hii ajali ya daladala linalofanya safari kati ya Tabata-Segerea- Mnazi Mmoja iliyotokea maeneo ya Tabata Matumbi. Shuhuda wa ajali hiyo…
Mwendelezo wa Hekaheka ya jana, kasikika dokta na sauti ya mama wa mtoto kwenye simu..(Audio)
Leo ni mwendelezo wa Hekaheka ya jana kuhusu mama kujifungua kisha mtoto wake kubaki na daktari sababu ikitajwa alishindwa kumlipa dokta kiasi cha pesa walichokubaliana..baada ya jana kusikika raia mwema…
Simba kumtema Papa Niang? hili ndio jina la msenegal mwingine anayekuja Simba
Klabu ya soka ya Simba mwishoni mwa wiki iliyopita ilimleta mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal Papa Niang ambaye ni ndugu wa damu na Mamadou Niang mchezaji aliyetamba katika vilabu kadhaa…
Hii ya magereza 9 duniani kubadilishwa kuwa hoteli kubwa imenifikia, Africa ipo moja tu! – (Pichaz)
Nimekutana na stori moja kwenye mitandao inayohusiana na magereza ya zamani ya wafungwa, yamekusanywa magereza 9 ya sehemu mbali mbali duniani na kubadilishwa kuwa kitu tofauti kabisa, na ukiyaona hutoamini…
Zao la kwanza la Diamond Platnumz,Anaitwa Harmonize kwenye singo inaitwa Aiyola.
Diamond Platnumz ameamua kumtambulisha msanii wake wa kwanza mtu wangu kutoka kwenye lebo yake ya WCB,msanii huyu anaitwa Harmonize na hii ni singo yake ya kwanza inaitwa Aiyola,ukiisikiliza unaweza kuandika comment…