Hekaheka ya dokta kumzalisha mama na kumng’ang’ania mtoto imesikika leo…(Audio)
Kwenye Hekaheka ya leo inahusu mwanamke aliyejifungua mtoto kisha dokta kuMngangania akidai hajalipwa fedha zake za matibabu. Msamaria mwema aliyeshuhudia tukio hilo amesema mama wa mtoto alipanga na dokta kuitoa…
Korea wamekuja na hii miavuli inayokuruhusu kutuma meseji kwenye mvua mtu wangu! + (Video).
Nimekutana na stori kwenye mitandao, yenyewe inahusiana na ubunifu kwenye vitu vidogo tu mtu wangu. Kwa mfano ulishawahi kujiuliza ingekuaje kama kungekuwa na mwavuli unaokuruhusu kutuma na kupokea message wakati…
Ni kweli Arsene Wenger ana kinyongo na Liverpool? kauli yake ipo hapa
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ambaye mwaka 2013 alikuwa na dhamira ya dhati ya kuwania saini ya mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Liverpool Luis Suarez…
Ali kiba kwenye sherehe za utamaduni wa Mombasa usiku wa jana…(Pichaz)
Usiku wa jana Ali Kiba alikua katika jiji la Mombasa kwenye sherehe za utamaduni wa Mombasa zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mama Ngina. Sherehe hizo zilihudhuriwa na mashabiki mbalimbali. Nimekua pichaz za…
Zidane kamuondoa nyota huyu kikosini kutokana na ongezeko la uzito
Real Madrid Castilla ni timu ya pili au ya wachezaji wa akiba wa klabu ya Real Madrid ya Hispania lakini ni sehemu ya Academy ya klabu ya Real Madrid na hushiriki katika…
Jeuri nyingine ya fedha kwa bondia Floyd Mayweather na hili gari lake jipya..
Bondia wa kimataifa Floyd Mayweather haishiwi Headlines, mara nyingi Stori zake nyingi zinahusiana na utajiri alionao. Niliwahi kuandika Stori kuhusu Floyd Mayweather kutojua kiasi cha pesa zake zilizopo benki kutokana…
2 Chainz asingekuwa rapper angefanya nini?, Msikie mwenyewe ndani ya ‘If I Didn’t Rap’ – (Video)
Baada ya kuweka headlines nyingi na wimbo wa Trapavelli na Pop-up Shop msanii wa Hiphop kutoka Marekani 2 Chainz amerudi kuziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani na video…
Vipengele 25 vya MAGUFULI, Kadi feki za wapigakura, Maneno ya MKAPA, SUMAYE na wasomi je?..#StoriKUBWA
HABARILEO Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeweka historia na kujenga heshima ya taifa kwa kuweza kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mfumo wa BVR kwa…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania August 24, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Chris Brown anazidi kuonyesha mapenzi kwa mwanae, aamua kumpatia zawadi ya album!
Msanii wa R&B Marekani Chris Brown siku hizi amekuwa mtu wa kuspend muda mwingi sana na mtoto wake wa kike, kila atakapo kwenda basi na mtoto Royalty yupo nyuma, sio…