Ni time ya Dk. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza kurudisha Fomu za Urais katika Ofisi za NEC Dar es Salaam… (Pichaz)
Baada ya Edward Lowassa kurudisha Fomu zake za Kugombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa October 2015, ilifuatia zamu ya Mgombe wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli pamoja na…
Good news… Navy Kenzo Feat. Vanessa Mdee imegusa hapa kwenye Countdown ya Radio Nigeria…
Siku zote huwa nafurahishwa sana pale ninapoona watu wangu kutoka Tanzania wanazidi kufanya vizuri kimuziki, sio siri wasanii wetu wanafanya sana kazi na kwa bidii, kazi ambazo zinapata mapokezi mazuri…
Collabo ya Ice Prince na Ali Kiba, mafanikio ya Jua Kali, Ali Kiba na alichokipata kwa Neyo..255 (Audio)
255 leo inatokea Kenya..Kulikua na tukio la uzinduzi wa Coke studio msimu wa tatu.. mastaa mbalimbali wa Afrika walikuwepo, leo Ice Prince amezungumza na kusema amefurahi sana kushirikishwa kwenye…
Hapa Ronaldo pale Neymar kwenye style tofauti za nywele zao zilizowahi kuvutia wengi… Pichaz)
Ukizungumzia Ligi ya Hispania wapo nyota wakubwa ambao wanapendwa zaidi na mashabiki wa soka duniani, sio tu kwa ukali wao kwenye soka wao uwanjani bali pia wamekuwa midomoni mwa mashabiki…
Unakaribishwa kucheki na hizi barabara zenye uwezo wa kuchaji gari linalotembea… (Pichaz)
Teknolojia imefanikiwa kuleta mambo mapya karibu kwenye kila kitu, tumezoea kuona magari yanatumia petrol na diesel, yakagunduliwa magari yanayotumia gesi, sasahivi yapo mpaka yanayotumia umeme !! Huenda kama una safari…
Picha 10 za Msenegal wa Simba alivyotua Dar es Salaam leo..
Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal Papa Niang ambaye amekuja katika klabu ya Simba Ijumaa ya August 21 kuja kujiunga na wekundu wa msimbazi Simba, Papa amewasili na tayari yupo katika…
Mgombea Urais Edward Lowassa alivyosindikizwa kurudisha Fomu za kugombea Urais 2015 katika ofisi za NEC… (Picha)
August 21 2015 ndio siku ambayo Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC ilitangaza kwamba Wagombea wote wa Urais wanatakiwa kurudisha Fomu zao Makao Makuu ya Ofisi za Tume hiyo, Posta…
Dar marufuku kushikana mikono, Ester Bulaya azua utata na Mgombea CCM ajeruhiwa kwa risasi…#StoriKubwa
MWANANCHI Mgombea Udiwani wa Chama cha Mapinduzi kata ya Sangabuye Mwanza, James Katole amejeruhiwa na risasi na watu wasiofahamika. Mgomgea huyo alipigwa risasi juzi akiwa kijijini kwake Nyangoka, Busega ambapo…
Ile collabo tuliyokuwa tukiisubiri iko njiani, Mafikizolo na Diamond Platnumz kurekodi “Tell Every One”
Baada ya kuweka headlines siku ya jana kwa kufanya collabo na superstaa kutoka Marekani Ne-Yo, staa wa Bongo Flava Diamond Platnumz yupo njiani kuelekea South Africa kufanya ile collabo tuliyoisikia…
Ninazo tayari #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 10 ya Tanzania August 21, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita,…