Kwenye Viwanja vinavyovutia wakati ndege inatua, Africa kipo kimoja kwenye hivi kumi… (Pichaz)
Ukisafiri kwa basi kuna vitu vingi unaenjoy kuviona njiani, kama unatoka Dar kwenda Iringa najua kwenye vitakavyokuvutia njiani iko pia mbunga ya Wanyama Mikumi... utaona kingine ni milima, misitu.. vyote…
Oscar Pistorious anarudi uraiani? Jela kuna VIP? haya hapa kutoka South Africa..
Mwezi October 2014 iliytolewa hukumu ya kifungo cha miaka mitano jela kwa kesi ya mauaji ambayo ilikuwa inamkabili Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorious. Stori nyingine iliyopewa uzito sasahivi…
Hekaheka ya mke kumng’ata mumewe sehemu za siri kisa ulevi imenifikia…(Audio)
Hekaheka ya leo inatokea Dar es salaam eneo la Tabata Kinyerezi, inamhusu mume kujeruhiwa vibaya sehemu zake za siri na mke wake kisa ni mlevi kupita kiasi. Mke wake amekua…
Kila kitu wazi.. na DiamondPlatnumz kaonyesha anamsupport Mgombea Urais gani 2015.
Ni mwaka wa Uchaguzi Tanzania ambapo upinzani mkubwa unaonekana kwenye Wagombea wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea kupitia CCM na Edward Lowassa aliyechukua fomu ya CHADEMA kwenye headlines za…
Video ya kilichonaswa Party ya Dj wa Diamond na maneno ya Diamond kuhusu zile msg na Wema na DNA ya mtoto wake na Zari.
Ilikua August 17 2015 Dar es salaam kwenye birthday party ya Rommy Jones ambaye ni ndugu wa mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz vilevile ndio official Dj wake ambapo vilevile AyoTV…
Hofu ya Fisi kushambulia watu yatanda, JK aahidi uchaguzi huru na Wagonjwa wa Kipundupindu..#StoriKubwa
HABARILEO Mbunge wa Mpwapwa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika kura za maoni alipoomba ridhaa ya wanachama wa CCM kuwania tena ubunge wa jimbo hilo, Gregory Teu, amesema hatakuwa tayari…
Ninazo tayari hizi #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 10 ya Tanzania August 19, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita,…
Orodha ya Wabunge CHADEMA.. Kamati ya kampeni CCM? Urais ACT Wazalendo gizani, TADEA je? #PowerBreakfast
Kwenye stori kubwa August 19 2015 kuna hizi kubwakubwa mtu wangu ambazo ziligusa pia Uchambuzi wa Redioni. CHADEMA yatangaza orodha ya wanachama wake watakaogombea Ubunge... Kamati kuu ya CCM yatangaza…
Magazeti ya Tanzania Agosti 19, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Agosti 19,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku,…
Exclusive ya pichaz 10 kutoka ndani ya Studio Nairobi Kenya, hapa ni Sauti Sol na Ali Kiba mtu wangu..
Usiku wa kuamkia tarehe August 19 2015 katikati ya Jiji la Nairobi Kenya, kuna kitu kipya kimegusa headlines za burudani East Africa... Sauti Sol ni wakali toka Kenya, Dunia inawajua…