Hizi ni baadhi ya mali za staa wa soka wa Nigeria atakayekuja Tanzania mwezi Septemba (picha)
Kiungo wa kimataifa wa Nigeria anayeichezea klabu ya Chelsea ya Uingereza John Obi Mikel ambae pia anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji matajiri zaidi Africa na katika historia ya Nigeria, Obi…
Nape Nnauye kuhusu walioihama CCM, Mbowe kuuza CHADEMA, Lipumba na Dr. Slaa, Magufuli na Laptop (+Audio)
Kinachosubiriwa sasahivi Tanzania moja ya matukio makubwa sana mwaka 2015 ni ishu ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani ambao utafanyika October 25 2015... Kuna ishu ambayo iliandikwa na…
Bendera ya Marekani ilivyoshuhudiwa inapepea Cuba kwa mara ya kwanza baada ya miaka 54 kupita…
Ni August 14 2015 inaandikwa Historia nyingine kubwa Duniani, Marekani na Cuba ni nchi ambazo hazikuwa kwenye uhusiano mzuri kwa muda mrefu, imeshuhudiwa kwa mara ya kwanza toka mwaka 1961…
Pichaz zilizonifikia kutoka Mbeya ambako Edward Lowassa amepokelewa leo…
Ratiba iliyotolewa na CHADEMA kuhusu safari ya Mgombea Urais wa Chama hicho, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini Mikoani ilionesha August 14 2015 ataanzia Mbeya, August 15 ni Arusha, August 16…
Ukimuangalia ni kama mtoto, umri wake ni miaka 26… Kuna sehemu bila cheti cha kuzaliwa hakatizi… (Pichaz & Video)
Watu wengi hutumia gharama kubwa kujaribu kurudisha miili yao isionekane kuzeeka lakini kwa Hyomyung Shin kutoka Korea Kusini imeonekana kuwa tofauti. Shin alizaliwa mwaka 1989 lakini amekua akiwashangaza wengi kutokana na…
Hizi ni Sababu 15 za Wema Sepetu kumhusu Waziri Magufuli..
Mastaa wa Tanzania asilimia chache wameingia kwenye headlines mbalimbali kuhusu siasa,ukiachana na Irene Uwoya ambaye yeye kwenye nafasi ya Ubunge wa viti maalum kafanikiwa na ataingia bungeni kuwakilisha vijana,wapo Mastaa…
Baada ya Video…… leo Rasmi Jux Kaiachia ‘Looking for You’ upande wa audio,isikilize hapa.
Video ya wimbo huu ni miongoni mwa video za Kibongo zilizopata baraka ya kuzinduliwa na kituo kikubwa cha nje cha Kimataifa MTV,Ndoto hii imekua ni ya muda mrefu kwa Jux baada…
Arsene Wenger kaongea haya kuhusu ishu ya Mourinho kumzuia Doctor wa Chelsea…
Bado ile story inayomhusu kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho kumlaumu Doctor wa timu hiyo Eva Carneiro kwa kuingia uwanjani kumpatia huduma Eden Hazard katika dakika za nyongeza, Mourinho alimlaumu…
Kwenye viwanja vya ndege vilivyotelekezwa, viko na hivi nane kwenye pichaz kabisa..
Ukiangalia gharama za kujenga Viwanja vya Ndege huwezi amini kwamba kuna mahali kwingine Viwanja hivyo vimetelekezwa na havifanyi kazi kabisa japo gharama nyingi zimetumika kuvijenga!! Kuna hivi hapa ambavyo vingi…
Mengine ya Ali Kiba na Jokate haya hapa kwa Soudy Brown…kuna ndoa? #UHeard (Audio)
Soudy Brown amepata tetesi kuhusu kuwepo kwa ndoa kati ya mastaa wawili Ali Kiba na Jokate, akaona asiliache lipite hivi hivi na kuamua kuzungumza na Ali Kiba kutaka kujua ukweli wa…