Baada ya kumng’ata mchezaji, Suarez atolewa nje ya kombe la dunia.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez amefungiwa mechi tisa na shirikisho la kandanda duniani Fifa baada ya kupatikana na hatia ya kumng'ta mlinzi wa timu ya Italia…
Cheki hii picha ya Professor Jay akiwa enzi zake za zamani.
Leo alhamisi watu wengi wanapenda ku-share picha za zao za zamani. Picha inayovutia leo ni ya Professor Jay ikimuonyesha yupo na mdogo wake enzi zao za zamani.
Hii ndiyo nguo atakayovaa Diamond kwenye red carpet ya BET Awards
BET Awards zinakaribia kufanyika na Diamond Platinumz anaelekea huko kwasababu amekuwa nominated kwenye kipengele cha Best African Act. Diamond atapita kwenye red carpet itakayo tumiwa na wasanii mbalimbali siku ya…
R Kelly akwepa maswali, ni kuhusu mtoto wake kubadilisha jinsia.
Mwanamziki wa Marekani Robert Kelly maarufu kama R.kelly amekataa kujibu maswali yanayomhusu mtoto wake wa kike Jaya kubadilisha jinsia.kuwa wa kiume. R Kelly amekuwa akikwepa kujibu maswali hayo juu ya…
Imeripotiwa Beyonce na Will Smith watakua ndani ya movie moja – Hancock 2
Wale waliowahi kuona Hancock ya kwanza ni superhero movie ambayo ilifanya vizuri sana na baada ya miaka 6 sasa wanakuja na story nyingine ya movie hiyo. Taarifa zinazotoka ni kwamba…
Rick Ross ameuchoka unene, aamua kuingia Gym tayari amepunguza kilo 45.
Rick Ross kila mtu anamjua kuwa na mwili mkubwa lakini hivi sasa ameamua kupugua kabisa. Mwenyewe anasema kwamba ameamua kujiweka fit na bado anakula anachokitaka lakini huwa anaenda gym kufanya…
Taarifa ya kukamatwa kwa Gavana wa Lamu, Kenya kufuatia mauaji Mpeketoni.
Polisi nchini kenya wamemtia mbaroni gavana wa jimbo la Lamu, Kenya lililokumbwa na mapigano na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 65. Polisi wanamshika Issa Timamy, kufuatia tuhuma za kuhusika…
Mpya kuhusu ndege ya Malaysia iliyopotea.
Eneo jipya la kutafuta ndege ya Malaysia iliyopotea limetangazwa na serikali ya Australia baada ya taarifa mpya za Satellite kutolewa. Kwa mujibu wa waziri mkuu Warren Truss, zoezi la utafutaji…
Kilichojiri mechi za kundi E, Ufaransa vs Ecuador – Switzerland vs Honduras
Nigeria. Michuano ya kombe la dunia imeendelea jana usiku kwa mechi za kundi E, ambapo Ufaransa walikutana na Ecuador na Switzerland ikakutana na Honduras. Ufaransa ilikamilisha mechi za makundi kwa…