Ni mwaka wa Ronaldo? kingine alichomfunika Messi kiko hapa
Cristiano Ronaldo ameendelea kumfunika mpinzani wake Lionel Messi baada ya kumshinda kwenye uchezaji bora wa dunia, ufungaji bora wa La Liga na Champions League, utajiri na sasa kwa mujibu wa…
Hii ndio listi ya nyimbo anazosikiliza Wayne Rooney wakati wa Kombe la Dunia
Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya michuano ya kombe la dunia kuanza, mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya England Wayne Rooney, leo ameshea playlist…
Utata kuhusu umri wa mchezaji huyu wa Lazio wamalizika – haya ndio matokeo ya uchunguzi wa umri wake
Sakata la kiungo wa klabu ya Lazio Joseph Minala aliyetengeneza vichwa vya habari kuhusu umri wake halisi leo hii limepata ufumbuzi. Mchezaji huyo ambaye taswira yake inaonyesha ni mtu mzima…
Hii hapa sababu ya Ronaldo kushangilia kwa style ya ‘Hulk’ kwenye fainali dhidi ya Atletico
Ripoti nchini Hispania zinasema kwamba Cristiano Ronaldo alivua jezi yake mbele camera wakati akishangilia goli lake kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya kwa sababu alikuwa akirekodi…
Jinsi video ya wachezaji wa Madrid walivyorekodi wimbo baada ya ushindi.
Mapema wiki hii ulitoka wimbo wa #HalaMadrid ulioimbwa na wachezaji wa Real Madrid baada ya ushindi wa imefanikiwa kupata video ya behind the scene wakati wachezaji wa Real Madrid walipokuwa…
Sikiliza jinsi Mapenzi yalivyomtesa Msichana wa Kitanzania kutoka kwa raia huyu wa Canada.
Ni stori ya kusikitisha ambayo ukiisikiliza moja kwa moja ndipo unaelewa,kifupi ni kwamba dada yetu wa kitanzania alikua na mahusiano ya kimapenzi na mvulana raia wa Canada,ambayo kwa maelezo ya…
Ommy Dimpoz katoa audio ya Ndagushima,sikiliza hapa.
Utambulisho wa wimbo huu ulianza kwa video yake kutambulishwa kwenye kituo cha televisheni cha MTV base kwa sasa inapata mzunguko mkubwa kwenye vituo mablimbali vya televisheni Tanzania. Leo ndiyo siku…
Yule raia aliezinguana na Will Smith time hii kamshambulia Brad Pitt usoni kwenye event ya Angelina Jolie
Mwigizaji Brad Pitt ameshambuliwa usoni na mtu asiefahamika huko Marekani wakati wa premier ya movie ya mpenzi wake ambae ni Angelina Jolie. (Maleficent) Shambulio hili ambalo halijamuumiza lilifanywa wakati akisaini…
Kumbe hili halikuwa gari la Samir Nasri?
Kwenye zile stori za maisha ya mastaa wa soka Ulaya wiki hii, hii nayo ni moja ya stori kubwa ambapo ilisambaa kupitia vyombo mbalimbali vya habari likiwemo gazeti la Daily…
Dakika 19 za kusikiliza magazeti yakisomwa na kuchambuliwa May 29.
Mara baada ya kuwa umepitia kurasa mbalimbali za Magazeti naomba utumie nafasi hii pia kusikiliza yakichambuliwa na kusomwa kupitia kipindi cha Power Breakfast,hapa yanachambuliwa na kusomwa na PJ.