Mwanamke aliehukumiwa kifo kwa kubadili dini na kuolewa na mume Mkristo
Mahakama nchini Sudan imemuhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanaume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag ambae baba yake ni muisilamu alishitakiwa kwa kosa la…
Ajali aliyopata Walter Chilambo wa BSS jana saa tano usiku
Ajali imetokea saa sita kasoro usiku May 15 2014 Kimara Dar es salaam ambapo mwimbaji Walter ambae ni mshindi wa BSS 2013 akiwa barabarani anaendesha alipata mshtuko mkubwa baada ya…
Kipya Kutoka Cloud 9 ya Clouds Tv mpaka Club Bilicanas Jumapili ya Mei 18.
Sehemu nyingine ya kuparty weekend hii ni Club Bilicanas ambapo Cloud 9 ya Clouds Tv wameandaa hii party kwa ajili yako ambayo itasindikizwa na wasanii kibao akiwemo G Nako,Godzilla,Young Killer,Young…
Mbali na kufeli kwa msimu uliopita,hii ndiyo faida waliyopata Manchester United.
Kwa mfatiliaji yoyote wa mpira wa miguu ligi ya England Manchester United ni timu ambayo haikufanya vizuri makombe yote ya msimu uliopita kitu ambacho kimekua tofauti kwa timu hiyo. Kwenye…
Yule mfanyakazi aliyetoa video ya Jay Z akipigwa na Solange amefukuzwa kazi.
Inasemekana yule mfanyakazi ambaye aliitoa ile video inayomuonyesha rapa Jay Z akishambuliwa na shemeji yake Solange Knowles ndani ya lifti ya hotel hiyo amefukuzwa kazi. Katika video hiyo siku hiyo…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 16.
Naomba uzitumie hizi dakika 15 mtu wangu wa nguvu kusikiliza kilichoandikwa na kuchambuliwa kwenye magazeti mbalimbali ya Tanzania,hii ni nafasi nyingine nayokupatia baada ya kusoma hapa unapata nafasi ya kusikiliza…
Magazeti ya leo May 16 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Muziki wa dance umepata pigo jingine leo, ni hiki kifo cha Mwimbaji Amina Ngaluma ‘Japanese’
Amina Ngaluma 'Japanese' ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu sana bendi ya African Revolution 'Tam tam' kupitia wimbo wa Mgumba na baadae kujiunga na bendi ya Double M Sound…
Maajabu ya jinsi mtoto wa miaka minne alivyoookolewa na Paka baada ya kunga’twa na mbwa wa jirani
Yani hii imehuzunisha watu wengi sana kwa jinsi mtoto alivyovamiwa lakini ikawapa furaha baadae baada ya paka aitwae Tara kutokea na kumuokoa huyu mtoto ambae wanaishi nyumba moja huko California…
Nikikupa nafasi ya kutoa max,utatoa asilimia ngapi kwa msanii huyu chipukizi Danny Pess.
Kuna baadhi ya video za wasanii chipukizi ukizitazama unaweza kupata nafasi ya kufikiria makubwa kwa msanii husika,huyu anaitwa Danny Pess hapa kamshirikisha Mr Blue wimbo unaitwa Naogopa. Bonyeza play kutazama.