Yanga yaingia makubaliano na benki TPB kuja na huduma hii….
Klabu ya Young Africans imeeingia makubaliano na Benki ya Posta nchini juu ya mabadiliko ya utengenezaji wa kadi za wanachama kutoka kwenye mfumo wa zamani (analogy) kwenda kwenye mfumo mpya…
Kuelekea kombe la dunia: Vikosi vya Ujerumani na Brazil vyatangazwa
Homa ya kombe la dunia imeanza kupanda na timu kadhaa zimeanza kutangaza vikosi vya wachezaji watakaoenda Brazil kushiriki michuano hiyo inayotarajiwa kuanza June mwaka huu. Jana usiku kocha wa timu…
Picha 10 za msichana wa Kiafrika anaefananishwa na Rihanna
Huyu msichana aliwahi kutokea kwenye video ya mmoja kati ya wakali wa Nigeria aitwae Orezi ambae aliimba wimbo unaitwa Rihanna ambapo video ilifanyika Afrika Kusini na unaweza kuitazama chini mwisho…
Mtanzania mwingine akamatwa Airport Nairobi akiwa na mzigo wa dawa za kulevya.
Mwanaume mmoja Mtanzania amekamwata katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya akiwa amebeba dawa za kulevya akiwa njiani kuelekea Antananarivo ambapo mzigo huo ulitokea Tanga kisha ukapita Mombasa…
Hii hekaheka ya mchawi kudondokea ndani ya nyumba ya mtu umeipata?
Idara ya Hekaheka kila siku haikauki habari ambazo muda mwingine zinasisimua na kukuacha na maswali mengi sasa hii ni nyingine tena ambayo imetokea Mtaa wa maneno,Temeke D'salaam baada ya kudondoka…
Taarifa kuhusu Kocha wa Yanga kusitisha mkataba wake na Yanga.
Taarifa ambayo inatolewa muda huu na Uongozi wa Yanga ni juu ya kuacha kazi kocha wa timu hiyo Hans Van Der Plujim ambaye aliungana na timu hiyo January 2014,sababu za…
Listi ya vilabu vyenye utajiri duniani: Man Utd, Real Madrid, FC Barcelona nani kashika nafasi ya kwanza?
Klabu ya Manchester United imezidi kushuka chini kwenye chati ya vilabu vyenye thamani kubwa ulimwenguni, kwa mujibu wa jarida la Forbes. Nafasi ya kwanza imeshikwa na klabu ya Real Madrid…
Video: Real Madrid walivyokamatwa na Valladolid na kuweka mbio za ubingwa shakani
Real Madrid jana usiku waliweka mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Spain shakani baada ya kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Valladolid. Matokeo ya mchezo huo yalikuwa 1-1…
Video: Magoli yote manne ya mchezo wa Man City vs Aston Villa haya hapa
Manchester City jana usiku iliusogolea ubingwa wa ligi kuu ya England baada ya kuifunga Aston Villa magoli 4-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye dimba la Etihad. manchester city 4-0 aston villa…
Video: Kocha Louis Van Gaal akizungumzia Man Utd – asema ni klabu kubwa duniani
Baada wiki kadhaa za tetesi kuhusu kuja kuwa mrithi wa David Moyes kwenye klabu ya Manchester United, hatimaye kocha Louis Van Gaal amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kujiunga na…